MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
1. Matambiko ya Kimila
2. Uchawi / Ushirikina
3. Utani wa Makabila
MATAMBIKO YA KIMILA
Kuna Makabila mengine yakiamua kufanya Tamaduni zao Jamii huwaona kama vile hamnazo ( Kipa Katoka )
Kwa mfano Kabila langu ukiona uko Mjini na Maisha hayaendi yakupasa kurejea kwa Wazee kisha unakogeshwa Hirizi ya Simba na ukija Mjini hata Mapolisi si tu wanakuogopa bali wanakukimbia na unaweza kufanya utakacho.
UCHAWI / USHIRIKINA
Kuna Mtu aliniambia kwani Uchawi / Ushirikina haukubaliki na Serikali wakati 85% ya Maisha ya Mwafrika ( Mswahili ) bila Kuroga au Kurogana hayaendi.
UTANI WA MAKABILA
Kuna Siku nilihudhuria Msiba wa Kabila moja na kwa Mshangao Mimi niliamua kufanya Utani kwa Kulala njiani ili Gari la Maiti lisimame na Wafiwa watoe Kwanza Faini nikaona Dereva analileta Kweli Kwangu na Kukichungulia Kifo hivyo nikaamka Kiukakamavu na Kulipisha huku Dereva nae akiwa amenuna ile mbaya.
Vijana wa leo hii Utani huu hawaujui.