Rais Samia badilisha viongozi Polisi na Usalama

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
7,823
Reaction score
10,857
Raisi Samia naomba nimpe ushauri wa wazi bila kufanya haya utapata shida sana na siasa za Tanzania

1. Utaratibu wa kuwaachia usalama wafanye maamuzi muhimu ya nchi watakuja kukupotosha. Kuna viongozi ndani ya usalama hawataki ufanikiwe na wanajiona wenyewe ndiyo wenye nchi kuanzia na kutengeneza kura za wizi, kuweka wabunge na sasa ndiyo hao hao wanapika kesi za upinzani ambazo kwa bahati mbaya hata kudanganya kitaalamu hawajui. Hawa watakuja kwa Raisi kama vile wanataka kukusaidia lakini ukweli ni kutaka kukuharibia. Hawataki uongee na upinzania na ndiyo maana siku moja kabla ya kuongea na Lissu kwenye simu walienda kumshika mbowe na kumbambika kesi. Hawa usalama wanajua fika kwamba upinzania una 40% ya watanzania au zaidi na huwezi kupata umashuhuri kama unaanza na 40% ya watanzania kuwa na uhasama. Pili usalama hawataki ujue mengine wanayofanya hivyo usishangae wamebadilisha simu zako.

2. IGP Sirro hapendwi na Watanzania kwani Watanzania wameona uchaguzi umeibiwa machoni mwake, askari kupigwa risasi, Lissu kupigwa risasi, Mo kutekwa yote haya mpaka sasa hayana maelezo. Hayana maelezo kwasababu wwatekaji na wauaji ni hawa hawa polisi na usalama wa taifa. Watanzania hawawezi kuaminishwa hata siku moja na watu wasiojulikana eti Mbowe ni gaidi. Hivi jiulize ni nani mashuhuri kimataifa au kitaifa kuliko Mbowe kwenye serikali nzima, mahakama na usalama. Hayati Magufuli anaongelewa hivi kuhusu Lissu ingawa alipona na yuko salama je angekufa umashuhuri wa Magufuli ungekuwaje sasa hivi? jiulize hili! huwezi kumshinda mwanasiasa mashuhuri kwa unyanyasaji hata siku moja. una mwamko mkubwa sana mfano Watanzania hawaiamini Polisi tena na sasa wanaanza kuzungumzia mahakama. Polisi na mahakama zikisha filisika kwa macho ya watanzania usalama ndiyo watabali lakini hakuna mtu ambaye anawafahamu ni wakina nani!. Bila kubadilisha hawa utapata shida wana

3. Tume ya uchaguzi na huyu Judge anayehusika na ulezi wa vyama wote inabidi wabadilishwe. Ukiwachekea na kuwaamini wanakuvunjia heshma yako na rekodi yako. Uchaguzi ujao wa serikali za mitaa utapunguza umashuhuri wako zaidi . Pamoja na upinzani kutokushiriki, kesi za kijinga za upinzani Raisi hautakuwa na uwezo wa kusikilizwa hata kama ukisema mazuri. Lakini kesi ya mbowe msipokuwa makini inaenda kudidimiza kabisa watu kuamini tena mahakama.

4. Usidanganye kwamba Watanzania wanajali uchumi pekee hii sio kweli. Angalieni juzi tu Hayati Magufuli watu sasa wanaongelea ukabila ambao alikuwa kauingiza wizarani kama wizara ya Fedha na ukatili wake lakini watu hawaongelei tena aliyofanya. Watanzania wa sasa hasa hawa vijana 70% chini ya miaka 30 hawana upeo wa kujua faida ya miradi. Hawa vijana wanajua wizi wa kura ambao upo kwenye Camera, Mbowe kuitwa gaidi na picha zipo kwenye Camera, wasanii picha zipo kwenye camera. Hawa vijana hawana upeo wa kukupongeza kwa kuchimba visima vya maji au kujenga meli kanda ya ziwa!. Hivyo hawa wanaokudanganya utakuwa mashuhuri pale tu utakapo weka uchumi sawa wanakudanganya.
 
2. IGP Sirra hapendwi na Watanzania kwani Watanzania wameona uchaguzi umeibiwa machoni mwake, askari kupigwa risasi, Lissu kupigwa risasi, Mo kutekwa yote haya mpaka sasa hayana maelezo. Hayana maelezo kwasababu wwatekaji na wauaji ni hawa hawa polisi na usalama wa taifa. Watanzania hawawezi kuaminishwa hata siku moja na watu wasiojulikana eti Mbowe ni gaini. Hivi jiulize ni nani mashuhuri kimataifa au kitaifa kuliko Mbowe kwenye serikali nzima, mahakama na usalama. Huwezi kuuwa nyota ukapendwa. Hayati Magufuli anaongelewa hivi kuhusu Lissu na alipona je angekufa umashuhuri wa Magufuli ungekuwaje sasa hivi? jiulize hili! huwezi kumshinda mwanasiasa mashuhuri kwa unyanyasaji hata siku moja. una mwamko mkubwa sana mfano Watanzania hawaiamini Polisi tena na sasa wanaanza kuzungumzia mahakama. Polisi na mahakama zikisha filisika kwa macho ya watanzania usalama ndiyo watabali lakini hakuna mtu ambaye anawafahamu ni wakina nani!. Bila kubadilisha hawa utapata shida wana

3. Tume ya uchaguzi na huyu Judge anayehusika na ulezi wa vyama wote inabidi wabadilishwe. Ukiwachekea na kuwaamini wanakuvunjia heshma yako na rekodi yako. Uchaguzi ujao wa serikali za mitaa utapunguza umashuhuri wako zaidi . Pamoja na upinzani kutokushiriki, kesi za kijinga za upinzani Raisi hautakuwa na uwezo wa kusikilizwa hata kama ukisema mazuri. Lakini kesi ya mbowe msipokuwa makini inaenda kudidimiza kabisa watu kuamini tena mahakama. K

4. Usidanganye kwamba Watanzania wanajali uchumi pekee hii sio kweli. Angalieni juzi tu Hayati Magufuli watu sasa wanaongelea ukabila ambao alikuwa kauingiza wizarani kama wizara ya Fedha na ukatili wake lakini watu hawaongelei tena aliyofanya. Watanzania wa sasa hasa hawa vijana 70% chini ya miaka 30 hawana upeo wa kujua faida ya miradi. Hawa vijana wanajua wizi wa kura ambao upo kwenye Camera, Mbowe kuitwa gaidi na picha zipo kwenye Camera, wasanii picha zipo kwenye camera. Hawa vijana hawana upeo wa kukupongeza kwa kuchimba visima vya maji au kujenga meli kanda ya ziwa!. Hivyo hawa wanaokudanganya utakuwa mashuhuri pale tu utakapo weka uchumi sawa wanakudanganya.
Thibitisha usalama wanaongoza nchi?
 
1631280797348.png

IGP Sirro mbona hasimaishi vikao vya CCM kama walivyofanya NCCR Mageuzi?
 
Raisi Samia naomba nimpe ushauri wa wazi bila kufanya haya utapata shida sana na siasa za Tanzania

1. Utaratibu wa kuwaachia usalama wafanye maamuzi muhimu ya nchi watakuja kukupotosha. Kuna viongozi ndani ya usalama hawataki ufanikiwe na wanajiona wenyewe ndiyo wenye nchi kuanzia na kutengeneza kura za wizi, kuweka wabunge na sasa ndiyo hao hao wanapika kesi za upinzani ambazo kwa bahati mbaya hata kudanganya kitaalamu hawajui. Hawa watakuja kwa Raisi kama vile wanataka kukusaidia lakini ukweli ni kutaka kukuharibia. Hawataki uongee na upinzania na ndiyo maana siku moja kabla ya kuongea na Lissu kwenye simu walienda kumshika mbowe na kumbambika kesi. Hawa usalama wanajua fika kwamba upinzania una 40% ya watanzania au zaidi na huwezi kupata umashuhuri kama unaanza na 40% ya watanzania kuwa na uhasama. Pili usalama hawataki ujue mengine wanayofanya hivyo usishangae wamebadilisha simu zako.

2. IGP Sirro hapendwi na Watanzania kwani Watanzania wameona uchaguzi umeibiwa machoni mwake, askari kupigwa risasi, Lissu kupigwa risasi, Mo kutekwa yote haya mpaka sasa hayana maelezo. Hayana maelezo kwasababu wwatekaji na wauaji ni hawa hawa polisi na usalama wa taifa. Watanzania hawawezi kuaminishwa hata siku moja na watu wasiojulikana eti Mbowe ni gaidi. Hivi jiulize ni nani mashuhuri kimataifa au kitaifa kuliko Mbowe kwenye serikali nzima, mahakama na usalama. Hayati Magufuli anaongelewa hivi kuhusu Lissu ingawa alipona na yuko salama je angekufa umashuhuri wa Magufuli ungekuwaje sasa hivi? jiulize hili! huwezi kumshinda mwanasiasa mashuhuri kwa unyanyasaji hata siku moja. una mwamko mkubwa sana mfano Watanzania hawaiamini Polisi tena na sasa wanaanza kuzungumzia mahakama. Polisi na mahakama zikisha filisika kwa macho ya watanzania usalama ndiyo watabali lakini hakuna mtu ambaye anawafahamu ni wakina nani!. Bila kubadilisha hawa utapata shida wana

3. Tume ya uchaguzi na huyu Judge anayehusika na ulezi wa vyama wote inabidi wabadilishwe. Ukiwachekea na kuwaamini wanakuvunjia heshma yako na rekodi yako. Uchaguzi ujao wa serikali za mitaa utapunguza umashuhuri wako zaidi . Pamoja na upinzani kutokushiriki, kesi za kijinga za upinzani Raisi hautakuwa na uwezo wa kusikilizwa hata kama ukisema mazuri. Lakini kesi ya mbowe msipokuwa makini inaenda kudidimiza kabisa watu kuamini tena mahakama.

4. Usidanganye kwamba Watanzania wanajali uchumi pekee hii sio kweli. Angalieni juzi tu Hayati Magufuli watu sasa wanaongelea ukabila ambao alikuwa kauingiza wizarani kama wizara ya Fedha na ukatili wake lakini watu hawaongelei tena aliyofanya. Watanzania wa sasa hasa hawa vijana 70% chini ya miaka 30 hawana upeo wa kujua faida ya miradi. Hawa vijana wanajua wizi wa kura ambao upo kwenye Camera, Mbowe kuitwa gaidi na picha zipo kwenye Camera, wasanii picha zipo kwenye camera. Hawa vijana hawana upeo wa kukupongeza kwa kuchimba visima vya maji au kujenga meli kanda ya ziwa!. Hivyo hawa wanaokudanganya utakuwa mashuhuri pale tu utakapo weka uchumi sawa wanakudanganya.

Niliandika 2021 nashukuru Rais Samia kwa kuchukuwa mawazo yangu.

Zitto Pascal Mayalla
 
Sasa mnaona baada ya miaka 3

Mwanzo 9:6 BHND​

Share
Amwagaye damu ya binadamu, damu yake itamwagwa na binadamu; maana binadamu aliumbwa kwa mfano wa Mungu.
 
Back
Top Bottom