Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda wangepigiwa kura lakini ukabila unaweza kuongezeka, unafikiri mchaga na msukuma wagombee ukuu wa mkoa mwanza au Kilimanjaro nani atashinda, hope I’m wrong ninachofikiriaTatizo wakuu wa Mikoa na Wilaya wanapatikanaje? tuna katiba mbovu sn
Kabisa!.Kuhangaika na madada POA ni ujinga na upumbavu mkubwa sana! Kamata mafisadi wanaofilisi nchi yetu acheni upumbavu wenu!
Anaye kwenda kinyume na walaka huo atumbuliwe tu
Rais Samia Suluhu Hassan amesema bado kuna viongozi wa mikoa na wilaya wanaendeleza matumizi mabaya ya madaraka hasa eneo la ukamataji.
Rais Samia amesema hayo wakati akitoa hotuba baada ya kupokea taarifa ya utekelezaji wa Kamati ya Haki Jinai iliyotolewa na makamu mwenyekiti wa kamati hiyo, Balozi Ombeni Sefue Juni 15, 2024 Ikulu ya Chamwino, Dodoma.
Akitoa hotuba yake kuhusu suala la matumizi mabaya ya madaraka Rais Samia anasema:
Matumizi mabaya ya madaraka ambayo linatakiwa kuwa jambo la kihistoria. Waraka namba 1 wa mwaka 2023 wa Katibu Mkuu Kiongozi kwa Wakuu wa Mikoa na Wakuu wa wilaya unaoelekeza na kusisitiza uzingatiaji wa sheria na kanuni katika utekelezaji wa mamlaka yao ya ukamataji uende ukatekelezwe vyema.Pamoja na waraka ule ambao umetolewa mapema mwaka jana bado kuna Wakuu wa Mikoa na Wakuu wa Wilaya wanaendeleza ubabe wa maeneo walipo. Na nikimnukuu Makamu Mwenyekiti wakati ananipa breafing anasema wakati wa kikao chao na Wakuu wa Wilaya mmoja alisema mimi ni Mwakilishi wa Rais hapa kwahiyo lolote lililopo huku ni la kwangu, hata nikihisi mahakama imeamua sivyo mimi nitatengua. Sasa nadhani bado hatujakaa vizuri, aidha elimu zaidi inahitajika au kuna usugu fulani ambao unahitaji kushughulikiwa.Kwahiyo niseme kwamba waraka ule uzingatiwe na uende ukafanye kazi vizuri, lazima kila mmoja kati yetu uwe Serikali Kuu au Serikali za Mitaa tujue taratibu za kazi zetu na mipaka yetu. Kila nafasi ina mipaka yake. Kwahiyo twendeni kwa mipaka yetu.
No zitangazwe watu waombe na usaili ufanyikeLabda wangepigiwa kura lakini ukabila unaweza kuongezeka, unafikiri mchaga na msukuma wagombee ukuu wa mkoa mwanza au Kilimanjaro nani atashinda, hope I’m wrong ninachofikiria
Rais Samia Suluhu Hassan amesema bado kuna viongozi wa mikoa na wilaya wanaendeleza matumizi mabaya ya madaraka hasa eneo la ukamataji.
Rais Samia amesema hayo wakati akitoa hotuba baada ya kupokea taarifa ya utekelezaji wa Kamati ya Haki Jinai iliyotolewa na makamu mwenyekiti wa kamati hiyo, Balozi Ombeni Sefue Juni 15, 2024 Ikulu ya Chamwino, Dodoma.
Akitoa hotuba yake kuhusu suala la matumizi mabaya ya madaraka Rais Samia anasema:
Matumizi mabaya ya madaraka ambayo linatakiwa kuwa jambo la kihistoria. Waraka namba 1 wa mwaka 2023 wa Katibu Mkuu Kiongozi kwa Wakuu wa Mikoa na Wakuu wa wilaya unaoelekeza na kusisitiza uzingatiaji wa sheria na kanuni katika utekelezaji wa mamlaka yao ya ukamataji uende ukatekelezwe vyema.Pamoja na waraka ule ambao umetolewa mapema mwaka jana bado kuna Wakuu wa Mikoa na Wakuu wa Wilaya wanaendeleza ubabe wa maeneo walipo. Na nikimnukuu Makamu Mwenyekiti wakati ananipa breafing anasema wakati wa kikao chao na Wakuu wa Wilaya mmoja alisema mimi ni Mwakilishi wa Rais hapa kwahiyo lolote lililopo huku ni la kwangu, hata nikihisi mahakama imeamua sivyo mimi nitatengua. Sasa nadhani bado hatujakaa vizuri, aidha elimu zaidi inahitajika au kuna usugu fulani ambao unahitaji kushughulikiwa.Kwahiyo niseme kwamba waraka ule uzingatiwe na uende ukafanye kazi vizuri, lazima kila mmoja kati yetu uwe Serikali Kuu au Serikali za Mitaa tujue taratibu za kazi zetu na mipaka yetu. Kila nafasi ina mipaka yake. Kwahiyo twendeni kwa mipaka yetu.
Yule wa Arusha kuna mama mmoja alikuwa akimlilia "baba nisaidie" maana mjukuu wake alibakwa, lakini Mahakama ya Wilaya ilimpa ushindi mtuhumiwa na kuachiwa huru. "Na ikasema rufaa iko wazi." Yet, huyo mkuu baada ya kusikiliza upande mmoja wa huyo mama, alitoa agizo kwa OCD mtuhumiwa akamatwe na kwamba "kesi inaanza upya" na watu kama kawaida yao wakashangilia. Sasa sijui kesi itaanzaje upya na kwa utaratibu gani wakati mahakama ilishasema rufaa iko wazi? Kwa upande wangu, huyo mtuhumiwa hapa ana haki ya kufungua kesi dhidi ya huyo mkuu "for unlawful incarceration" na hii inge'set' precedence kwa viongozi wengine wanaoamua mambo 'arbirarily' bila kufuata sheria. Lakini kwa vile watu wengi hawajui sheria na kwa vile wengine wanakimbilia kuwaogopesha wenzao "usishindane na serikali", watu wengi hukaa kimya na kuumia ndani ndani bila kudai haki zao.Hilo tunalijua atuambie kafanya nini kuhusu hilo. Yeye ndiye anawateua, kwanini asiwatumbue?
kahaba haupigwi vita kwa kukamata. Hii inaonyesha polisi na watawala hawana kazi ya kufanya na wanakumbilia kufanya usanii. Hili unalosema la wapenzi kuvunjiwa faragha yao ni moja tu ya matokeo ya usanii unapongeza! Pole sana kwa kuwa na akili za kutoona uhusiano wa haya mawili.Kuna video niliona YouTube viongozi wakikamata madada poa sinza, hiyo ni sawa kabisa na nawapongeza viongozi sababu ukahaba ni jinai na unaongeza maambukizi ya ukimwi shida yangu mimi kuna dada na bwana wake nao walikamatwa na kuoneshwa sura zao, japo mdada alijitetea kwa nguvu akisema niko hapa guest na mtu wangu, na viongozi hawakujali, binafsi sikufurahia kabisa wapenzi wale wawili kukamatwa haikuwa sahihi na ilinichukiza sana uhuru wao wa faragha ukivunjwa, you can only see this in Africa!!
Mama please sema na hao viongozi wanaokamata kamata raia na kuvunja uhuru na heshma za raia.
Kapimwe mkojo na afya akili wewe au uelewa wako ni kiduchu.Hakuna haki yoyote! Huyu mama ni msanii tu. Mbona kagoma kurekebisha sheria kandamizi, kuunda tume huru na katiba mpa?
Ni kweli hizi title za mkuu wa mkoa/ wilaya ni siasa tupu and waste of time and money, ni nafasi za kupeana asante na zinawakilisha favoritism, hizo nafasi ziwe zinawajibika moja kwa moja kwa wananchi, hiring and firing power wapewe wananchi kwa mechanism inayoeleweka , kuna namna nyingi ya kuondoa siasa siasa kwenye hizi title lakini hawatakiNo zitangazwe watu waombe na usaili ufanyike
Mimi hata Kura yangu nitampa ashughulikie KATIBA MPYA tu.Rais Samia, shughulikia suala la katiba ushuhudie hata wakosoaji wako wakuu watakavyokuunga mkono.
Video ingetosha kuliko kutuumiza macho na nukuu hii.
Rais Samia Suluhu Hassan amesema bado kuna viongozi wa mikoa na wilaya wanaendeleza matumizi mabaya ya madaraka hasa eneo la ukamataji.
Rais Samia amesema hayo wakati akitoa hotuba baada ya kupokea taarifa ya utekelezaji wa Kamati ya Haki Jinai iliyotolewa na makamu mwenyekiti wa kamati hiyo, Balozi Ombeni Sefue Juni 15, 2024 Ikulu ya Chamwino, Dodoma.
Akitoa hotuba yake kuhusu suala la matumizi mabaya ya madaraka Rais Samia anasema:
Matumizi mabaya ya madaraka ambayo linatakiwa kuwa jambo la kihistoria. Waraka namba 1 wa mwaka 2023 wa Katibu Mkuu Kiongozi kwa Wakuu wa Mikoa na Wakuu wa wilaya unaoelekeza na kusisitiza uzingatiaji wa sheria na kanuni katika utekelezaji wa mamlaka yao ya ukamataji uende ukatekelezwe vyema.Pamoja na waraka ule ambao umetolewa mapema mwaka jana bado kuna Wakuu wa Mikoa na Wakuu wa Wilaya wanaendeleza ubabe wa maeneo walipo. Na nikimnukuu Makamu Mwenyekiti wakati ananipa breafing anasema wakati wa kikao chao na Wakuu wa Wilaya mmoja alisema mimi ni Mwakilishi wa Rais hapa kwahiyo lolote lililopo huku ni la kwangu, hata nikihisi mahakama imeamua sivyo mimi nitatengua. Sasa nadhani bado hatujakaa vizuri, aidha elimu zaidi inahitajika au kuna usugu fulani ambao unahitaji kushughulikiwa.Kwahiyo niseme kwamba waraka ule uzingatiwe na uende ukafanye kazi vizuri, lazima kila mmoja kati yetu uwe Serikali Kuu au Serikali za Mitaa tujue taratibu za kazi zetu na mipaka yetu. Kila nafasi ina mipaka yake. Kwahiyo twendeni kwa mipaka yetu.
Hana hizo guts, anajua katiba mpya ndio mwisho wa CCM au itabidi waanze kufanya kaziMimi hata Kura yangu nitampa ashughulikie KATIBA MPYA tu.
Hapo ujue fika kwamba mazaa katema cheche. Kwa walengwa: Mwenye masikio na asikie.
Rais Samia Suluhu Hassan amesema bado kuna viongozi wa mikoa na wilaya wanaendeleza matumizi mabaya ya madaraka hasa eneo la ukamataji.
Rais Samia amesema hayo wakati akitoa hotuba baada ya kupokea taarifa ya utekelezaji wa Kamati ya Haki Jinai iliyotolewa na makamu mwenyekiti wa kamati hiyo, Balozi Ombeni Sefue Juni 15, 2024 Ikulu ya Chamwino, Dodoma.
Akitoa hotuba yake kuhusu suala la matumizi mabaya ya madaraka Rais Samia anasema:
Matumizi mabaya ya madaraka ambayo linatakiwa kuwa jambo la kihistoria. Waraka namba 1 wa mwaka 2023 wa Katibu Mkuu Kiongozi kwa Wakuu wa Mikoa na Wakuu wa wilaya unaoelekeza na kusisitiza uzingatiaji wa sheria na kanuni katika utekelezaji wa mamlaka yao ya ukamataji uende ukatekelezwe vyema.Pamoja na waraka ule ambao umetolewa mapema mwaka jana bado kuna Wakuu wa Mikoa na Wakuu wa Wilaya wanaendeleza ubabe wa maeneo walipo. Na nikimnukuu Makamu Mwenyekiti wakati ananipa breafing anasema wakati wa kikao chao na Wakuu wa Wilaya mmoja alisema mimi ni Mwakilishi wa Rais hapa kwahiyo lolote lililopo huku ni la kwangu, hata nikihisi mahakama imeamua sivyo mimi nitatengua. Sasa nadhani bado hatujakaa vizuri, aidha elimu zaidi inahitajika au kuna usugu fulani ambao unahitaji kushughulikiwa.Kwahiyo niseme kwamba waraka ule uzingatiwe na uende ukafanye kazi vizuri, lazima kila mmoja kati yetu uwe Serikali Kuu au Serikali za Mitaa tujue taratibu za kazi zetu na mipaka yetu. Kila nafasi ina mipaka yake. Kwahiyo twendeni kwa mipaka yetu.

Mi huwa wanajiuliza waliotunga hii katiba walikuwa ni wazima kichwani?Ni kweli hizi title za mkuu wa mkoa/ wilaya ni siasa tupu and waste of time and money, ni nafasi za kupeana asante na zinawakilisha favoritism, hizo nafasi ziwe zinawajibika moja kwa moja kwa wananchi, hiring and firing power wapewe wananchi kwa mechanism inayoeleweka , kuna namna nyingi ya kuondoa siasa siasa kwenye hizi title lakini hawataki