Rais Samia: Bado ninaisikia sauti ya Hayati Magufuli akiniambia kuhusu miradi na Dodoma kuwa Makao Makuu

Hii si mara ya kwanza Rais Samia anadai sauti ya Magufuli inamfuata...sijui inasema nini mengine...haiwezekani inazungumzia miradi tu. Mara nyingi sauti ya usia inakumbushia mambo yaliyokuwa muhimu kwa mtu...
 
Mi namshaur aachane kabisa kusikiliza zauti za yule zimwi .Leo kaskia izo kesho ataskia za kuua vyama pnzan, raia, kupora wafanyabiashar na kutoajiri wahitim wetu. Namsihi sana mama aachane kabisa kuskiza sauti za yule bwana toka ahera
 
Hii si mara ya kwanza Rais Samia anadai sauti ya Magufuli inamfuata...sijui inasema nini mengine...haiwezekani inazungumzia miradi tu. Mara nyingi sauti ya usia inakumbushia mambo yaliyokuwa muhimu kwa mtu...
Mzee tunahitaji andiko... Ebu tulia ulete. Inawezekana sauti inaongea mengi lakini mnenaji anaamua ya kunena...
 
Sasa sie walamba asali itakuaje au ndo sahivi tulambe vifuniko vya asali
 
Hii si mara ya kwanza Rais Samia anadai sauti ya Magufuli inamfuata...sijui inasema nini mengine...haiwezekani inazungumzia miradi tu. Mara nyingi sauti ya usia inakumbushia mambo yaliyokuwa muhimu kwa mtu...
Sauti hizo zinaweza kutafsiriwa kuwa ndizo zile sauti za Wananchi mtaani(kwa njaa zilivyokithiri)...yaani Sauti za wapiga kura walio wengi...kwani bado kura zao zipo valid. Hizo sauti zingine, zimezibwa, kupanua wigo la Mabakuli ya mchakato mzima wa kura...2025
 
NCHI wameifanya MTI,
Mjenzi anauona MBAO,
Ndege ataona MAKAZI,
Mkulima ataona MAZAO,
Mganga Ataona DAWA na
Mpishi atauona KUN...🙊
 
Magaidi wetu mitandaoni huwa yanapata butwaa, haswa baada ya kuona juhudi zao hazipewi kipaumbele katika Siasa za Nchi. Watabaki hivyo tu.
-This is where reality sets in.
 
Nijuavyo kutesa na kusikia ni maneno mawili tofauti. Sasa ni kweli alisema anateswa na sauti au anaisikia sauti?!
 
Chadema wanataka asikilize sauti ya mwenyekiti wao.
 
Kwanza fyeka wala rushwa wote ndio sauti ikoleze
 
Ukiwa unaisikia mara kwa mara maana yake nini?
Oh kumbe neno kuteswa aliongezea yeye mwenyewe binafsi?😆 Katika uwakilishi wa habari kwa hadhira hakikisha muwakilishi unawakilisha haswa kile kilichosemwa au kukiona kwa macho yako then waachie hadhira watatafsiri vipi kile ulichokiwakilisha. Kuwamezesha hadhira mawazo yako sio uwakilishaji wa habari mzuri.
Jifunze
 
Kuyasema ya mooyoni kwamba, JPM alikuwa anadhamira njema juu ya hii nchi! Ni kujiondoa kwenye kundi la wajinga, wanafiki na wapumbavu watukanaji na hawajawahi kuelewa wanahitaji kiongozi wa aina ipi!
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…