CCM siyo mama yangu. Nayo ni maneno ya baba wa taifa. Hakuna wa kupinga!Maneno ya baba wa taifa hayo. Nani wa kupinga?
Raia wanaujua ukweli siyo machifu waliopewa hela za DP Dunia
Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amewaomba Machifu kuhamasisha watu waowaongoza kuchagua vongozi kutoka Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwenye uchaguzi mdogo utakaofanyika mwaka huu kwani chama hicho kimekuwa kikisimamia serikali vizuri...