Binadamu hasa hawa vijana wanasahau kila siku. Kama Rais Samia asiko tumia muda wake vizuri kwa mambo yanye faida na historia za kitafia atabaki ya majumba na pesa kwake na familia yake lakini nafsi yake itamsuta na Watanzania watamsahau haraka kama Kikwete.
Kama anataka kuacha historia ya kudumu na kukumbukwa ni lazima afanye vitu ambavyo vina manufaa kwa taifa na sio mambo ya uchumi ambayo anaweza kuja mwingine akabadilisha. Rais Samia usipo julikana kwa katiba nzuri na demokrasia utakumbukwa kwa matukio yalijitokeza kama mauaji, utakaji, rushwa na ubinafsi.
Usije kufikiri support ya Lissu inatoka Chadema pekee sio hivyo ni watu waliochoka minyanyaso. Hawa watu watakuwepo Chadema ikiwepo na isipo kuwepo na watachukuwa sheria mikononi
Iko siku sio mbali wananchi ndiyo watakuwa na nguvu kuliko machawa. Hivyo ushauri wangu tenda mema ikiwa ni pamoja na kuanzisha mifumo imara na ya haki ili kiongozi yeyote akija siwe mfalme au malikia bali awe kiongozi tu na nchi itaendelea zaidi na sera za nchi zitakuwa endelezi.