Rais Samia: Demokrasia siyo Cocacola

Rais Samia: Demokrasia siyo Cocacola

Elitwege

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2017
Posts
5,294
Reaction score
10,970
Rais Samia Suluhu amewajibu wapinzani kuwa waache kukariri kwani demokrasia siyo Cocacola kwamba inafanana kila mahali duniani.

Samia amesema demokrasia inatofautiana kutoka nchi moja kwenda nyingine kutokana na utofauti wa mila na desturi vya mahali husika hivyo demokrasia tuliyonayo sisi watanzania inatutosha.

20210916_100525.jpg
 
Tukifuata demokrasia inayotambua mila na tamaduni za eneo husika mwanamke hakutakiwa kwenda shule achilia mbali kuongoza wanaume...
 
Back
Top Bottom