eliasmisinzo
JF-Expert Member
- Aug 13, 2021
- 1,259
- 1,321
Kumbe kubambika kesi na kuteka ni demokrasi!Kwa maana hiyo hata UDIKTETA ni 'DEMOKRASIA'?
Anaelewa anachikizungumzia?
Kama kweli rais kayasema haya, anatofauti gani na hawa watu waliomo humu JF kama akina Johnthebabtist, Magonjwa, Etwege, na wengineo wa aina hiyo?