Shoctopus
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 3,434
- 1,985
Hata haki za binadamu na utawala bora tz ni tofauti na za binadamu wengine
Sent from my A71 using JamiiForums mobile app
Sent from my A71 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amtoe wapi sasa ahaha yaani wewe
Utamaduni gani haumtambui mwanamke kama kiongozi, wa waarabu au wa kabila lenu?akisema kila eneo lina demokrasia yake, mila na desturi zetu hazimtambui mwanamke kama kiongozi.
Mwambieni huyu mtu hii nchi sio kikundi cha kikoba ajifunze kuweka akiba ya maneno.
Umeshawahi kumuona Sheikh wa kike?Utamaduni gani haumtambui mwanamke kama kiongozi, wa waarabu au wa kabila lenu?
Ataachiwa tu siku sio nyingi. Alitaka afanye fair angalau kuwafuta machozi wapinzani, kumbe wapinzani wenyewe ndo akina Mbowe, joka ambalo kamwe halifugiki litaishia kukumeza na kukuangamiza.Hapo umesema kitu. Sasa mwambie dpp asiendelee na kesi ya mwanamapinduzi Sabaya maana alikua anatekeleza kazi maaluum alizopewa na mtangulizi wako kupambana na ufisadi.
Ndo maana nimekwambia utamaduni wa waarabu? Kama ni dini tumeipenda tutai adopt alaf tutaifanya iendane na tamaduni zet.Umeshawahi kumuona Sheikh wa kike?
Au kwenye ukoo wenu kiongozi wa ukoo ni wa kike??
Itakua umezaliwa juzi juzi kwenye quotes za siasaHa ha ha!
Hii quote of the month!
DEMOKRASIA SI COCA COLA!
wewe hujawahi kwenda kwenda kaburini kwa bibi au babu yetu kuuliza na ama kusemasema cho hote kileAmtoe wapi sasa ahaha yaani wewe
Mkuu sisi ni wa Mwalimu hata coca cola mliyonayo haikuwepo.Itakua umezaliwa juzi juzi kwenye quotes za siasa
Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
Demokrasia sio kinyagi
Nishaenda sana pale kwa Mzee Limo babu yetu maskini...wewe hujawahi kwenda kwenda kaburini kwa bibi au babu yetu kuuliza na ama kusemasema cho hote kile
Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
Chief nani tena??