CCM kwa kweli kazi wanayo safari hii ......!!Amesema atagombea 2025, pambaneni.
Amuulize mwezakeAmesema atagombea 2025, pambaneni.
CCM kwa kweli kazi wanayo safari hii ......!!
Hiyo ni miezi 6 .... Baada ya mwaka sijui itakuwaje!
Ujinga wako!Shikilia hapo hapo mama.
Usilegeze kamba.
Anazidi kuuchakata mwingi au sio bulaza!Naona tunataka kuletewa Demokrasia ya Kingazija
Sio akina Mwigulu & co?Mabavicha lazima yateme ndoano