Rais Samia: Dira imeweka msisitizo kwenye suala la Haki, Maadili na utamaduni

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa katika siku maalaum ya uzinduzi wa Dira ya taifa 2050 amesema Dira hiyo ya taifa imeweka msisitizo katika suala la haki, na kulinda maadili na utamaduni wa watanzania akisema kuwa haya ni maeneo muhimu kwa ustawi wa watanzania ,

Soma Pia: Rais Samia azindua Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050, Dodoma Julai 17, 2025

Pia ametoa wito kwa mahakama ya Tanzania na taasisi zote husika katika utoaji haki na pia ametambua mchango wao katika kufanikisha malengo ya dira nakutimiza wajibu wao bila upendeleo, huba na chuki kama kiapo chao kinavyosema au uonevu kwa mtu yeyote.

Your browser is not able to display this video.
 
Tanzania aliyoitaka Mwalimu Nyerere
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…