figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Dkt. Ayub Rioba Chacha hadi sasa sijui kaenda kufanya nini TBC.
Kageuzi TBC kama TV ya Chama tawala na anajivunia hilo.
Je, rasi, unaona ni sawa kwa usitawi wa kitaifa?
TBC ni Shirika la Utangazaji Tanzania (zamani: Televisheni ya Taifa ya Tanzania) pia huitwa kwa Kiingereza: Tanzania Broadcasting Corporation ambapo mara nyingi huitwa kwa kifupi TBC, ni chombo cha habari kinachomilikiwa na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huwa inatangaza habari kwa lugha ya Kiswahili na Kiingereza.
Shirika hili lilianza tarehe 10 Machi mwaka 2000. Makao yake makuu yapo Kijitonyama jijini Dar es Salaam.
Zamani ilikuwa ikipatikana kwa Tanzania tu, lakini kwa sasa imepanua huduma yake ya urushaji wa matangazo na inapatikani karibuni Afrika nzima.
Kurusha matangazo ya Redio na Televisheni yaliyo katika ubora.
• Kutoa huduma kwa mteja kwa uwazi na usawa na kwa kuzingatia makundi maalum.
• Kuzingatia miongozo ya fedha na kuwalipa wateja wake kwa wakati.
• Kuhakikisha burudani inakidhi viwango vilivyopangwa.
• Kutoa taarifa za matukio mbalimbali kwa wakati na kuzingatia weledi.
• Kuhakikisha lugha inayotumika katika matangazo ni fasaha.
Sijaona wanaposema TBC ni kwaajili ya Habari za Serikali tu au Habari za CCm tu.
Dkt. Rioba bado anapambania tumbo lake sio Nchi yake kwenye kupasha habari. Hafai kuwepo TBC
TBC moja ya jukumu ni kudumisha umoja kwa Watanzania