Rais Samia, Dkt. Ayub Rioba Chacha anafanya nini TBC?

rais ana mambo mengi ya kufanya sio kila kitu umtupie yeye lawama kwan waziri mwenye dhaman ana kazi gani?
 
Kutoa pia coverage sawa kwa vyama zote vya siasa na siyo kuchagua chama kimoja tu.
 
anakula kwa urefu wa kamba yake lakini asivimbiwe
 
Siyo kweli. TBC hawana bodi ya wakurugenzi!?? Hao ndiyo mabosi wa Mkurugenzi wa TBC.

Nadhani Mwenyekiti wao ni Stephen Kagaigai... Pata picha..😜😛🤚
Hao ndio waliomteua Rioba? And what if Bodi ya wakurugenzi wanataka Rioba afanye A halafu aliyemteua anataka afanye B. unafikiri Rionba atamsikiliza nani? Jiongeze
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…