Trust None
JF-Expert Member
- Feb 12, 2018
- 1,260
- 4,419
Wateule wapya wanaapishwa Jumanne April 6, itakuwa vyemo tarehe isogezwe mbele ili kujiridhisha CV yakila mteule.
Tukumbuke kuwa baadhi ya majina analetewa na washauri wake, wengine wanaleta kwa maslahi binafsi na washauri wengi ni walewale wa awamu zilizopita.
Rais wetu usiwe na haraka, lakini pia nakushukuru kupita mitandaoni, inasaidia na itakusaidia sana.
Usisite kuwawajibisha wanaokuingiza chaka.