Trust None
JF-Expert Member
- Feb 12, 2018
- 1,260
- 4,419
Kweli mkuu , watu wanataka mharibia mama, this is not fair, fukuza hao washauri uchwara, wanakuchomekea watu ajabu ajabu kufanikisha malengo yao so sadWateule wapya wanaapishwa Jumanne April 6, itakuwa vyemo tarehe isogezwe mbele ili kujiridhisha CV yakila mteule.
Tukumbuke kuwa baadhi ya majina analetewa na washauri wake, wengine wanaleta kwa maslahi binafsi na washauri wengi ni walewale wa awamu zilizopita.
Rais wetu usiwe na haraka, lakini pia nakushukuru kupita mitandaoni, inasaidia na itakusaidia sana.
Usisite kuwawajibisha wanaokuingiza chaka.
Naunga mkono hoja,mfano hai huu hapaWateule wapya wanaapishwa Jumanne April 6, itakuwa vyemo tarehe isogezwe mbele ili kujiridhisha CV yakila mteule.
Tukumbuke kuwa baadhi ya majina analetewa na washauri wake, wengine wanaleta kwa maslahi binafsi na washauri wengi ni walewale wa awamu zilizopita.
Rais wetu usiwe na haraka, lakini pia nakushukuru kupita mitandaoni, inasaidia na itakusaidia sana.
Usisite kuwawajibisha wanaokuingiza chaka.
Kuna watu wanamuingiza chaka kwa maslahi binafsiNaunga mkono hoja,mfano hai huu hapaView attachment 1743855View attachment 1743856