ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
- Thread starter
- #101
Uganda wako vizuri sana yaani kwa Africa wao na Ethiopia wanazalisha sana
Sisi ilikuwa tuwapige bao hao ila nafikiri sehemu kubwa zimealiwa na Jeshi letu
Ingekuwa vizuri wangekata miti mingi kwenye maeneo yao na badala yake kulima Kahawa maana ni miti pia.
Wangevuna kila mwaka na hakuna wa kuingia shambani maana tunavyoogopa
Hiyo ndio advantage yao kubwa
View: https://x.com/MalemboLE/status/1893327436231716870?t=WOcHfVE1tdMrsx1J1UR2Zw&s=19