Rais Samia: Haikuwa na maana kuchoma vifaranga wa kuku mpakani

Yaani yule mzee alikuwa mkatili sana...unaamrisha vifaranga vya kuku vichomwe vina kosa gani? Kama alichoma vifaranga watu wangapi aliwaua? Na yeye huko aliko anachomwa kama vile vifaranga
 
Wale vifaranga walikuwa wanaumwa nn?
Ni batch hiyo tu ndo waliokuwa wanaumwa?
Kule walipotokea, waliobakia nao walichomwa moto?

Kwamba baada ya kuwachoma na ugonjwa wenyewe ndo ukatoweka kbs!?

Acheni ushetani"
 
Hakuna mwaka sukari ya ndani ilitosheleza, acha uongo wewe! Sasa unaona ni sawa watu waagize sukari Brazil badala ya Uganda? Tumia akili..
 
Yule alikuwa nyampara wa barabara tu! Anatoa kauli hadharani kama "baki na mavi yako nyumbani!" Yule alikuwa mwehu wa mirembe
 
Magufuli hakuwa na tabia ya kushauriana na mtu anapofanya mambo yake...usitake kujifanya hujui ili umpe ubaya mama
 
Sisi wajinga tunaweza kujifunza kutoka kwako kama ni mtanzania mwenye mawazo chanya ya ujenzi wa taifa letu. Ingekuwa vizuri ukatupa logic yako ili hata ya mistari minne ili angalua ujinga utupungue
Hamna kitu hapo...yeye mwenyewe mjinga sana tu
 
Magufuli hakuwa na tabia ya kushauriana na mtu anapofanya mambo yake...usitake kujifanya hujui ili umpe ubaya mama
Kwani katika uongozi ishu ni Rais kutokuwa na tabia ya kushauriana na makamu wake au ishu ni sheria zinasemaje?

Unaweza kupeleka ushahidi wako huu mahakamani uiambie mahakama kuwa Samia hana hatia kwa sababu Magufuli hakuwa na tabia ya kushauriana na makamu wake?

Unaelewa kuwa mahakama itaangalia sheria zinasemaje na wala siyo Magufuli alisemaje?Unaelewa kuwa nchi huwa inaongozwa kwa mujibu wa sheria na wala siyo kwa mujibu wa tabia ya mtu?
 
Swali bado ni lilelile, huyo mama alikuwa anafanya kazi gani? Na kwanini hakujiudhuru? Ni mnafki!
 
Wale vifaranga walikuwa wanaumwa nn?
Ni batch hiyo tu ndo waliokuwa wanaumwa?
Kule walipotokea, waliobakia nao walichomwa moto?

Kwamba baada ya kuwachoma na ugonjwa wenyewe ndo ukatoweka kbs!?

Acheni ushetani"
Unapotekeleza sheria ya nchi ya boarder entry huhitaji kuuliza Importer kama huko alipotoa shehena waliiobakia wana hali gani. Kinachotakiwa Ni importer kutoa nyaraka zote za importation, inspection report pamoja vya vipimo vya veterinary. Kama hivyo vitu havipo sheria inasema teketeza shehena au zika. That's it. Kwanini uingize shehena nchini isiyo na documentation yoyote?
 
Hizo sheria kamsomee Magu huko motoni...am not interested
 
Alipaswa kujiuzulu basi mbona hakufanya hivyo, huyu mnafiq?
 
Hapa jambo la msingi siyo wewe kuwa interested na sheria au la,jambo la msingi hapa ni kwamba taka usitake nchi huwa inaongozwa kwa mujibu wa sheria.
Magu alipokuwa anaua, anakataza vyama vya siasa visifanye mikutano na shuguli za kisiasa, anapora uchaguzi alikuwa anafata Sheria gani?
 
Magu alipokuwa anaua, anakataza vyama vya siasa visifanye mikutano na shuguli za kisiasa, anapora uchaguzi alikuwa anafata Sheria gani?
Magu kuvunja katiba pamoja na sheria za nchi haihalalishi wala haitoi kibali kuwa nchi iongozwe bila kuzingatia katiba na sheria.
 
Unafiki mwingi......hakuna haja ya kufukua makaburi.......jenga mapya.....
 
Magu kuvunja katiba pamoja na sheria za nchi haihalalishi wala haitoi kibali kuwa nchi iongozwe bila kuzingatia katiba na sheria.
Sasa kwanini unaona hayo sasa, lakin wakati huohuo huoni ya Magufuli aliyofanya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…