Rais Samia: Haikuwa na maana kuchoma vifaranga wa kuku mpakani

Daah! wale vifaranga walivyochomwa tukaambiwa eti wanamagonjwa, kumbe ilikuwa roho mbaya ya Bwana yule. Taratiiibu ukweli wa yaliyofichwa unaanza kuwekwa wazi! Soon hata wale wasiojulikana wanaojulikana maza atawasema siku moja mchana kweupe!
Bado anawakereketa tu matak.oni...jikune tu
 
Mbona Magu alikuwa anamponda Kikwete?
Kwanini asifanye kazi zake bila kulinganisha na asiyekuwepo na hawezi kujitetea haoni kama anajishitukia uongozi wake? Yeye angefanya kazi yake tu kizuri kinajiuza chenyewe!
 
Sheria inasemaje kuhusu kuingiza vifaranga nchini? tufuate sheria au tufuate huruma ya mungu? , kuna haja gani ya kuwa na sheria nchini ? mimi nilifikiri Samia kaapa kulinda katiba na sheria za nchi kumbe hajui chochote alichoapa, ya mungu mpe mungu na kaisali mpe kaisali, by the way hajachelewa kama anataka kila kitu vifaranga au mifugo iingie Tanzania kutoka kokote duniani apeleke bungeni mswada ili sheria ibadilishwe lasivyo atakuwa anawachanganya watendaji na watalaam wake walioko mipakani , kweli CCM ni Janga la Taifa, kila mtu mnafiki ,huyu tulienae ndo janga zaidi yaani hajui anasimamia wapi, hana dira , hana msimamo, hana vision yeyote zaidi kulipotezea taifa muda na resources.
 
Bado anawakereketa tu matak.oni...jikune tu

Inaonyesha wewe ni mzoefu wa kujikuna huko matkon! Kazana boss, endelea kwa kasi hiyo hiyo!
Kama nilichokiandika kimekuboa ungeignore tu! Otherwise utaumia sana kwa utakavyoona vinavyoendelea kuandikwa!
 
Basi tupunguze mlolongo wa taasisi zinazokamua viwanda kama OSHA,EWURA,Bei ya umeme,TRA.WCF.NHIF,NSSF/PSSSF.ushuru wa manispaa,ushuru wa kutumia taka.
 
kwani biashara ya magendo ikikamatwa(iliyoingia nchini kinyemera) mhusika hua anapewa muda wa kukamilisha taratibu za kiserikali? mbona juzi sukari ilikamatwa mbeya mhusika hakurudishiwa bali ilitaifishwa na kugaiwa taasisi za serikali ambazo ni magereza,shule n.k kwani serikali ya mh.Samia haikuona
 
After all she was one of them. Seems doesn't understand collective responsibility.
Shida anatumia nguvu nyingi kujisafisha badala ya kujenga legacy yake.which ni kitu kibaya kumchafua mwingine ili wewe uonekane msafi angali wote mlikula kibudu.
 
Inaonyesha wewe ni mzoefu wa kujikuna huko matkon! Kazana boss, endelea kwa kasi hiyo hiyo!
Kama nilichokiandika kimekuboa ungeignore tu! Otherwise utaumia sana kwa utakavyoona vinavyoendelea kuandikwa!
Endeleen kujikuna
 
Sehemu vifaranga vilipochomewa ni wilaya ya Longido ambako kipindi hicho alikuwepo Chongolo ambaye kwa sasa ni katibu mkuu wa CCM, kwanini alitekeleza kama sababu hazikuwa na mashiko? Mmiliki wa vifaranga alijitokeza vilipokamatwa? Ripoti ya vet ilionesha vifaranga vilikuwa na vimelea vya magonjwa ya kuku, je ilikuwa sahihi kuruhusu ugonjwa uingizwe nchini na kuhatarisha uhai wa viumbe na afya za watanzania?
 
Kwahiyo wagonjwa wa corona nao tuwapige kiberiti uwanja wa ndege? Hivi kweli unaanzaje kuchoma moto kiumbe hai hatakama ni chawa,

Tumekuwa miungu uchwara kupokea sadaka za kuteketeza
 
Wewe ukitutajia hiyo takataka unatuchefua kabisa jamaa yako hakuwa binadamu wa kawaida muuaji,muongo,katiri,kibaka,mpenda wake za watu,inshort mwenyezi mungu aliamua kutuadhibu sisi watanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…