RWANDES
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 1,788
- 4,401
Taarifa za ndani kabisa ni kwamba mama hakubaliki lakini Nani atamfunga paka kengele kilichopo ni kwamba madaraka ni matamu! Mama hata yeye anajuwa hakubaliki anategemea vijana wake wamfanyie kazi ndiyo maana hakemei wizi na hana nguvu ya kufukuza kazi waziri yeyote kwani alishaaminishwa na mzee wa msoga waliopo Ndio wakumpigania Zaidi ya lile kundi la sukuma gang.
Mmoja wa viongozi wa juu aliuliza mnajuwa maana ya kuupiga mwingi? Rafiki yake akamjibu kwamba anafanya kazi wanayoitaka wananchi Ndipo alipomcheka kwa dharau na kumpa majibu kwamba fursa zilizobanwa na mwendazake sasa zipo Kila mtu anakula ndani ya serikali kulingana na kamba yake hayo ndiyo majibu aliyoambiwa.
Kwa maneno hayo hata Mimi nimejiuliza ukiulizwa swali mama amefanyia nini nchi tangu 2021

- Nitakwambia amejenga vyoo vya madarasa kupitia uviko ambazo tsh trion 1.3 zilitumika
- Nitakwambia ameruhusu DEMOKRASIA ingawa hiyo DEMOKRASIA Sion inachosaidia
- Nitakwambia mradi wa SGR umefia Dodoma kwan maeneo mengine mkandaeasi amekosa hela kuendelea kujenga.
- Nitakwambia bandari zote zilizopo kwenye bahari na maziwa makuu tayari zimeshauzwa na kwamba baada ya kuuza tunapata gawio kubwa.
- Nitakwambia makampuni ya kihuni ya wafanyabiashara wa sukari yametufanya tunanunua sukari kg tsh 4000 hadi tsh 5000/=
- Nitakwambia amegawa mapikipiki mikoa yote ambayo ni kwa ajiri ya kumpigania aendelee kuwa raisi.
- Nitakwambia Kodi lukuki zimezalishwa pamoja na kuwepo Kodi hizo hakuna maendeleo yanayoonekana Zaidi ya miradi iliyoanzishwa kusinyaa.
- Nitakwambia serikali ya sasa imejikita kwenye matumiz yasiyoonekana na wala siyo kuzalisha
- Nitakwambia amejitahudi kutoa ajira hasa jeshi la polisi.na kupandisha madaraja kwenye taasisi mbalimbali