Pre GE2025 Rais Samia hakubaliki Tanzania 2025, kazi iliyopo ni kutumia mbinu mbadala

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Taarifa za ndani kabisa ni kwamba mama hakubaliki lakini Nani atamfunga paka kengele kilichopo ni kwamba madaraka ni matamu! Mama hata yeye anajuwa hakubaliki anategemea vijana wake wamfanyie kazi ndiyo maana hakemei wizi na hana nguvu ya kufukuza kazi waziri yeyote kwani alishaaminishwa na mzee wa msoga waliopo Ndio wakumpigania Zaidi ya lile kundi la sukuma gang.

Mmoja wa viongozi wa juu aliuliza mnajuwa maana ya kuupiga mwingi? Rafiki yake akamjibu kwamba anafanya kazi wanayoitaka wananchi Ndipo alipomcheka kwa dharau na kumpa majibu kwamba fursa zilizobanwa na mwendazake sasa zipo Kila mtu anakula ndani ya serikali kulingana na kamba yake hayo ndiyo majibu aliyoambiwa.

Kwa maneno hayo hata Mimi nimejiuliza ukiulizwa swali mama amefanyia nini nchi tangu 2021
  • Nitakwambia amejenga vyoo vya madarasa kupitia uviko ambazo tsh trion 1.3 zilitumika
  • Nitakwambia ameruhusu DEMOKRASIA ingawa hiyo DEMOKRASIA Sion inachosaidia
-Nitakwambia bwawa la mwalimu Nyerere hawajakamilisha kwani mashine zote zinazotakiwa kuwashwa na kuzalisha megawatt 2500 bado hazijakamilika.
  • Nitakwambia mradi wa SGR umefia Dodoma kwan maeneo mengine mkandaeasi amekosa hela kuendelea kujenga.
  • Nitakwambia bandari zote zilizopo kwenye bahari na maziwa makuu tayari zimeshauzwa na kwamba baada ya kuuza tunapata gawio kubwa.
  • Nitakwambia makampuni ya kihuni ya wafanyabiashara wa sukari yametufanya tunanunua sukari kg tsh 4000 hadi tsh 5000/=
  • Nitakwambia amegawa mapikipiki mikoa yote ambayo ni kwa ajiri ya kumpigania aendelee kuwa raisi.
  • Nitakwambia Kodi lukuki zimezalishwa pamoja na kuwepo Kodi hizo hakuna maendeleo yanayoonekana Zaidi ya miradi iliyoanzishwa kusinyaa.
  • Nitakwambia serikali ya sasa imejikita kwenye matumiz yasiyoonekana na wala siyo kuzalisha
  • Nitakwambia amejitahudi kutoa ajira hasa jeshi la polisi.na kupandisha madaraja kwenye taasisi mbalimbali
N.k
Nilifikiri sitaweza kukaa kwa muda mrefu kwenye mada hii, lakini najikuta siwezi kuondoka.
Basi nami ngoja nishiriki kikamilifu kuichangia.

Umefanya vyema sana kuweka mambo kadhaa kama mifano ya mambo ambayo yanamfanya "asikubalike/akubalike" kwa uongozi wake.

Binafsi kuna jambo zito zaidi ya yote ninayomlalamikia huyu mama katika uongozi wake wa nchi yetu ya Tanzania. Hili ni jambo linalojumuisha mambo mengi.

Rais SamiaSuluhu Hassan namlaumu; hapana namlaani kwa kujaribu kuua dhamira/moyo wa waTanzania katika kujiamini kwao kwamba nchi yao kimaendeleo ni jukumu lao wao wenyewe, siyo jukumu la mtu mwingine yeyote toka huko nje, aje atuletee maendeleo yetu sisi hapa.
Jukumu la kiongozi yeyote mzalendo, ni kuhakikisha kwamba wananchi ndio kipaumbele katika kutafuta maendeleo hayo, siyo hao wengine toka nje
Hili mama Samia kaliweka pembeni kabisa, kama halijui.

Kufungua nchi hakuna maana ya kuwatelekeza wananchi. Wawekezaji wanaokuja hapa pamoja na wao kutafuta fursa, lakini kwetu lingekuwa ni jambo la kufa na kupona kuhakikisha kwamba uwekezaji huo unakuwa ni ngazi halisi ya kutujengea uwezo sisi wenyewe, na siyo kupewa viajira vya kiutwanautwana, eti ndiyo shukrani zetu kwao huku tukiona wanabeba raslimali zetu.
Uwekezaji, toka nje hadi katika mambo ambayo tunayo uwezo nayo sisi wenyewe, siyo uwekezaji bali ni njia za kusomba tu raslimali zetu. Tuna misitu chungu nzima nchi hii kama Buhindi, Mafinga na kwingineko, ambayo tayari sisi wenyewe tuliianzisha na kuhisimamia n.k., kwa mafanikio. Leo hii tunatafuta watu wa kuja hapa ku'manage' mapori yetu, eti wanavuna Carbon? Ni kitu gani hapo tunachoshindwa kukifanya sisi wenyewe.

Nisiiandike mengi.
Tatizo la Rais Samia ni kuamini kwamba waTanzania hawawezi chochote. Kiongozi anapokuwa na kasumba ya namna hii, hafai kabisa kuiongoza nchi.
WaTanzania wanaweza sana, karibu katika kila nyanja sasa. Kinacho kosekana ni uongozi tu wa kusimamia juhudi za wananchi hawa.
 
..Kolinda Kitarovic wa Croatia.

..Benazir Bhutto wa Pakistan.

..kiongozi mwanamke lazima awe mzuri.
Indira Gandhi wa India, Golder Meier wa Israel, n.k., n.k.

Lakini kimwonekano, huyu wetu hana tofauti sana na hao.
Kwa hiyo kuna la ziada analolikosa huyu.
 
Taarifa za ndani kabisa ni kwamba mama hakubaliki lakini Nani atamfunga paka kengele kilichopo ni kwamba madaraka ni matamu! Mama hata yeye anajuwa hakubaliki anategemea vijana wake wamfanyie kazi ndiyo maana hakemei wizi na hana nguvu ya kufukuza kazi waziri yeyote kwani alishaaminishwa na mzee wa msoga waliopo Ndio wakumpigania Zaidi ya lile kundi la sukuma gang.

Mmoja wa viongozi wa juu aliuliza mnajuwa maana ya kuupiga mwingi? Rafiki yake akamjibu kwamba anafanya kazi wanayoitaka wananchi Ndipo alipomcheka kwa dharau na kumpa majibu kwamba fursa zilizobanwa na mwendazake sasa zipo Kila mtu anakula ndani ya serikali kulingana na kamba yake hayo ndiyo majibu aliyoambiwa.

Kwa maneno hayo hata Mimi nimejiuliza ukiulizwa swali mama amefanyia nini nchi tangu 2021
  • Nitakwambia amejenga vyoo vya madarasa kupitia uviko ambazo tsh trion 1.3 zilitumika
  • Nitakwambia ameruhusu DEMOKRASIA ingawa hiyo DEMOKRASIA Sion inachosaidia
-Nitakwambia bwawa la mwalimu Nyerere hawajakamilisha kwani mashine zote zinazotakiwa kuwashwa na kuzalisha megawatt 2500 bado hazijakamilika.
  • Nitakwambia mradi wa SGR umefia Dodoma kwan maeneo mengine mkandaeasi amekosa hela kuendelea kujenga.
  • Nitakwambia bandari zote zilizopo kwenye bahari na maziwa makuu tayari zimeshauzwa na kwamba baada ya kuuza tunapata gawio kubwa.
  • Nitakwambia makampuni ya kihuni ya wafanyabiashara wa sukari yametufanya tunanunua sukari kg tsh 4000 hadi tsh 5000/=
  • Nitakwambia amegawa mapikipiki mikoa yote ambayo ni kwa ajiri ya kumpigania aendelee kuwa raisi.
  • Nitakwambia Kodi lukuki zimezalishwa pamoja na kuwepo Kodi hizo hakuna maendeleo yanayoonekana Zaidi ya miradi iliyoanzishwa kusinyaa.
  • Nitakwambia serikali ya sasa imejikita kwenye matumiz yasiyoonekana na wala siyo kuzalisha
  • Nitakwambia amejitahudi kutoa ajira hasa jeshi la polisi.na kupandisha madaraja kwenye taasisi mbalimbali
N.k
Mama yetu Dkt Samia tulishamtahadharisha sana kuwa Dkt Magufuli alipendwa sana tena sana na watanzania. Tatizo kubwa ni kuweka kwenye nafasi za uongozi wa juu wale wenye maslahi ya kuwania urais. Yaani kama Mh. Makamba alichokifanya kwa Mama ni hatari sana tena sana, na bado Mh. Mwigulu naye aisee ni balaa ukija kwa Nape noma yaani kuhakikisha Dkt Samia anatukanwa na kuhakikisha Dkt Magufuli anatukanwa na wafuasi wa Dkt Samia kwa Mh. Bashe oyooo noma kwa wakulima, ila kwa ujumla Dkt Samia waliomharibia ndiyo hao ambao alidhani wanamsaidia, mama yetu Dkt Samia kaja kuona madhara yake wakati wameshachukua mfumo wote na hana jinsi tena. Hii inanikumbusha Papa John Paul na kanisa Katoliki, yaani wanakupiga safari na kukusifia kumbe wanapanga safu zao. Na kwa hali ilivyo yaani ni ngumu kuikabili, maana ya Dkt Magufuli yanaweza tokea kwa hili genge la wahuni.
 
Taarifa za ndani kabisa ni kwamba mama hakubaliki lakini Nani atamfunga paka kengele kilichopo ni kwamba madaraka ni matamu! Mama hata yeye anajuwa hakubaliki anategemea vijana wake wamfanyie kazi ndiyo maana hakemei wizi na hana nguvu ya kufukuza kazi waziri yeyote kwani alishaaminishwa na mzee wa msoga waliopo Ndio wakumpigania Zaidi ya lile kundi la sukuma gang.

Mmoja wa viongozi wa juu aliuliza mnajuwa maana ya kuupiga mwingi? Rafiki yake akamjibu kwamba anafanya kazi wanayoitaka wananchi Ndipo alipomcheka kwa dharau na kumpa majibu kwamba fursa zilizobanwa na mwendazake sasa zipo Kila mtu anakula ndani ya serikali kulingana na kamba yake hayo ndiyo majibu aliyoambiwa.

Kwa maneno hayo hata Mimi nimejiuliza ukiulizwa swali mama amefanyia nini nchi tangu 2021
  • Nitakwambia amejenga vyoo vya madarasa kupitia uviko ambazo tsh trion 1.3 zilitumika
  • Nitakwambia ameruhusu DEMOKRASIA ingawa hiyo DEMOKRASIA Sion inachosaidia
-Nitakwambia bwawa la mwalimu Nyerere hawajakamilisha kwani mashine zote zinazotakiwa kuwashwa na kuzalisha megawatt 2500 bado hazijakamilika.
  • Nitakwambia mradi wa SGR umefia Dodoma kwan maeneo mengine mkandaeasi amekosa hela kuendelea kujenga.
  • Nitakwambia bandari zote zilizopo kwenye bahari na maziwa makuu tayari zimeshauzwa na kwamba baada ya kuuza tunapata gawio kubwa.
  • Nitakwambia makampuni ya kihuni ya wafanyabiashara wa sukari yametufanya tunanunua sukari kg tsh 4000 hadi tsh 5000/=
  • Nitakwambia amegawa mapikipiki mikoa yote ambayo ni kwa ajiri ya kumpigania aendelee kuwa raisi.
  • Nitakwambia Kodi lukuki zimezalishwa pamoja na kuwepo Kodi hizo hakuna maendeleo yanayoonekana Zaidi ya miradi iliyoanzishwa kusinyaa.
  • Nitakwambia serikali ya sasa imejikita kwenye matumiz yasiyoonekana na wala siyo kuzalisha
  • Nitakwambia amejitahudi kutoa ajira hasa jeshi la polisi.na kupandisha madaraja kwenye taasisi mbalimbali
N.k
Hata Mimi simkubali kabisa na simpendi mno
 
Nilifikiri sitaweza kukaa kwa muda mrefu kwenye mada hii, lakini najikuta siwezi kuondoka.
Basi nami ngoja nishiriki kikamilifu kuichangia.

Umefanya vyema sana kuweka mambo kadhaa kama mifano ya mambo ambayo yanamfanya "asikubalike/akubalike" kwa uongozi wake.

Binafsi kuna jambo zito zaidi ya yote ninayomlalamikia huyu mama katika uongozi wake wa nchi yetu ya Tanzania. Hili ni jambo linalojumuisha mambo mengi.

Rais SamiaSuluhu Hassan namlaumu; hapana namlaani kwa kujaribu kuua dhamira/moyo wa waTanzania katika kujiamini kwao kwamba nchi yao kimaendeleo ni jukumu lao wao wenyewe, siyo jukumu la mtu mwingine yeyote toka huko nje, aje atuletee maendeleo yetu sisi hapa.
Jukumu la kiongozi yeyote mzalendo, ni kuhakikisha kwamba wananchi ndio kipaumbele katika kutafuta maendeleo hayo, siyo hao wengine toka nje
Hili mama Samia kaliweka pembeni kabisa, kama halijui.

Kufungua nchi hakuna maana ya kuwatelekeza wananchi. Wawekezaji wanaokuja hapa pamoja na wao kutafuta fursa, lakini kwetu lingekuwa ni jambo la kufa na kupona kuhakikisha kwamba uwekezaji huo unakuwa ni ngazi halisi ya kutujengea uwezo sisi wenyewe, na siyo kupewa viajira vya kiutwanautwana, eti ndiyo shukrani zetu kwao huku tukiona wanabeba raslimali zetu.
Uwekezaji, toka nje hadi katika mambo ambayo tunayo uwezo nayo sisi wenyewe, siyo uwekezaji bali ni njia za kusomba tu raslimali zetu. Tuna misitu chungu nzima nchi hii kama Buhindi, Mafinga na kwingineko, ambayo tayari sisi wenyewe tuliianzisha na kuhisimamia n.k., kwa mafanikio. Leo hii tunatafuta watu wa kuja hapa ku'manage' mapori yetu, eti wanavuna Carbon? Ni kitu gani hapo tunachoshindwa kukifanya sisi wenyewe.

Nisiiandike mengi.
Tatizo la Rais Samia ni kuamini kwamba waTanzania hawawezi chochote. Kiongozi anapokuwa na kasumba ya namna hii, hafai kabisa kuiongoza nchi.
WaTanzania wanaweza sana, karibu katika kila nyanja sasa. Kinacho kosekana ni uongozi tu wa kusimamia juhudi za wananchi hawa.
Bosi Dkt Samia alidanganywa na akina Lema etc, baada ya kifo cha Dkt Magufuli, Dkt Samia alikuwa kama kaamka usingizini wakaanza kumlisha maneno kibao na yeye bila kuchambua akawa anaropoka. Mfano mdogo kuna yule mfanya biashara aliyekuwa anadaiwa kodi TRA basi wahuni wakamchukua wakampeleka kwa Dkt Samia enzi za Dkt Magufuli na huyo mtu alikuwa na makosa kweli ila wahuni wakamseti Dkt Samia aone kuna ukweli na mfanya biashara anaonewa kiasi kwamba Dkt Samia akatangulizwa kuamini serikali ya Dkt Magufuli ilikusanya kodi kwa mtutu wa bunduki, na kwa kauli yake alipopata nafasi akamlaani mtangulizi wake kwa eti mabavu ya kukusanya kodi. Sasa hawa wahuni wakaanza kwanza kwenye umeme, wakaja kwenye tozo ili kuhakikisha mfumuko wa bei unakuwa mkubwa, wakaja kwenye kodi waka wa sample wawekezaji wa nje wote wakawachapa demand noti ya kodi ya miaka kazaa iliyopita (kumbuka hapa Dkt Samia kama amri jeshi mkuu alikemea kudai kodi ya miaka iliyopita), ila wahuni walienda kukagua na kudai hizo kodi tena wakafanya mkakati wa kufunga akaunti zao ili jambo liwe kubwa na baada ya hapo nyoka mabeberu kupitia mabalozi wao zikaja na barua ya kumuandikia barua waziri wa mambo ya nje na tayari waziri akajibu na tayari mission ikawa imekamilika, hivyo Dkt Samia hapendwi ndani na nje ya Tanzania. Hakika tuna mpa pole sana kwa sababu alidhani akina Mh. Makamba ni binaadamu hahah
 
Taarifa za ndani kabisa ni kwamba mama hakubaliki lakini Nani atamfunga paka kengele kilichopo ni kwamba madaraka ni matamu! Mama hata yeye anajuwa hakubaliki anategemea vijana wake wamfanyie kazi ndiyo maana hakemei wizi na hana nguvu ya kufukuza kazi waziri yeyote kwani alishaaminishwa na mzee wa msoga waliopo Ndio wakumpigania Zaidi ya lile kundi la sukuma gang.

Mmoja wa viongozi wa juu aliuliza mnajuwa maana ya kuupiga mwingi? Rafiki yake akamjibu kwamba anafanya kazi wanayoitaka wananchi Ndipo alipomcheka kwa dharau na kumpa majibu kwamba fursa zilizobanwa na mwendazake sasa zipo Kila mtu anakula ndani ya serikali kulingana na kamba yake hayo ndiyo majibu aliyoambiwa.

Kwa maneno hayo hata Mimi nimejiuliza ukiulizwa swali mama amefanyia nini nchi tangu 2021
  • Nitakwambia amejenga vyoo vya madarasa kupitia uviko ambazo tsh trion 1.3 zilitumika
  • Nitakwambia ameruhusu DEMOKRASIA ingawa hiyo DEMOKRASIA Sion inachosaidia
-Nitakwambia bwawa la mwalimu Nyerere hawajakamilisha kwani mashine zote zinazotakiwa kuwashwa na kuzalisha megawatt 2500 bado hazijakamilika.
  • Nitakwambia mradi wa SGR umefia Dodoma kwan maeneo mengine mkandaeasi amekosa hela kuendelea kujenga.
  • Nitakwambia bandari zote zilizopo kwenye bahari na maziwa makuu tayari zimeshauzwa na kwamba baada ya kuuza tunapata gawio kubwa.
  • Nitakwambia makampuni ya kihuni ya wafanyabiashara wa sukari yametufanya tunanunua sukari kg tsh 4000 hadi tsh 5000/=
  • Nitakwambia amegawa mapikipiki mikoa yote ambayo ni kwa ajiri ya kumpigania aendelee kuwa raisi.
  • Nitakwambia Kodi lukuki zimezalishwa pamoja na kuwepo Kodi hizo hakuna maendeleo yanayoonekana Zaidi ya miradi iliyoanzishwa kusinyaa.
  • Nitakwambia serikali ya sasa imejikita kwenye matumiz yasiyoonekana na wala siyo kuzalisha
  • Nitakwambia amejitahudi kutoa ajira hasa jeshi la polisi.na kupandisha madaraja kwenye taasisi mbalimbali
N.k
Usiyemkubali ni wewe peke yako na chadema wako. Sisi tunamkubali mno na atashinda kwa 87% ya kura
 
2025 Samia atashinda asubuh na mapema hili lipo wazi kabisa
 
Wengine tunamkubali na tutampa Kura
 
Wewe ndio humkubali ila sisi tunamkubali sana, ili uamini subiri matokeo ya serekali za mitaa ccm itazoa kura karibia zote za vijiji na vitongoji, kazi tutaimalizia 2025 atashinda kwa kishondo ,kundi la Wafanyakazi pia Wanamkubali sana mama
 
ngwanduu tatizo ni kuwa wahuni ndiyo walisha mfix Dkt Samia wala siyo jambo la kujipa matumaini au eti kujaribu kujipendekeza. Kama anapitia hizi thread Dkt Samia ajue kabisa wabaya wake wa Kwanza ni mwezi wa kwanza na wapili mawe akisaidia na mtu wa taarifa. Yaani huu utatu mtakatifu na uone walivyojipanga. Habari maelezo alienda pale kimkakati ili taswira ya Dkt Samia na kibaya yule wa uingereza aliletwa maalumu kumchafua image mama yaani kuhakikisha kila weakness inatoka kwenye public hahaha ila watu wana dhambi
 
Aisee jamaa umenena ukweli mtupu japo kuna matahaira kama nwashambwa na yule sijui tilatila watakinzana nawe
 
Back
Top Bottom