Stephano Mgendanyi
JF-Expert Member
- May 16, 2020
- 2,833
- 1,301
“Hakuna mashaka kuhusu ukubwa wa Chama cha Mapinduzi, hiki ndicho Chama kikubwa kuliko chama kingine hapa nchini, sisi ni chama kikubwa kimuundo, kioganaizesheni, kihistoria na hata kwa idadi ya wananchama” Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
𝐖𝐀𝐉𝐔𝐌𝐁𝐄 1924 𝐖𝐀𝐌𝐄𝐒𝐇𝐈𝐑𝐈𝐊𝐈 𝐌𝐊𝐔𝐓𝐀𝐍𝐎 𝐌𝐊𝐔𝐔 𝐖𝐀 𝐂𝐂𝐌 - 𝐁𝐀𝐋𝐎𝐙𝐈 𝐃𝐊𝐓. 𝐍𝐂𝐇𝐈𝐌𝐁𝐈
"Wajumbe wote wa kikao hichi ni 1928, wajumbe waliopata dharura ni 4 pekee, hivyo hapa wapo wajumbe 1924 ndani ya ukumbi huu, kwahiyo kwa mujibu wa Katiba yetu ya CCM ibara 127 inatamka kikao kiwe na wajumbe zaidi ya nusu kifanyike hivyo kwa mujibu wa katiba kikao hichi ni halali."
#MkutanoMkuuCCM2025
#CCMImara
#VitendoVinaSauti
#KaziIendelee