Rais Samia: Hakuna mwenye hati ya kusema hii nchi ni yangu nitafanya ninavyotaka

Rais Samia Suluhu Hassan, akizungumza katika kikao na viongozi wa vyama vya siasa kilichofanyika leo, Julai 30, 2026, amesema hakuna mtu mwenye haki ya kudai kuwa nchi ni yake na hivyo kufanya anavyotaka

"Hakuna mwenye... hati ya kusema mi hii nchi ni yangu kwa hiyo nitafanya ninavyotaka."
"Maendeleo ni ya wote."

"Democracy is about shared prosperity, shared responsibility before prosperity."

"Ni kuwajibika kwa pamoja."


"Na tukiwajibika kwa pamoja serikali inatenda iliyowekwa na chama kilichoshinda. Lakini mbele huko faida ni kwetu sote.


Soma Pia: Rais Samia: Tusikubali kutumika na watu wasioitakia mema nchi yetu, tuepeuke kuwa wasaliti na maadui wa nchi yetu

Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…