Rais Samia: Hakuna ulazima wa Magari kukaguliwa hapa nchini

Na ukitumiwa documents zako kwa dhl inawekwa na inspection report.
sure document zote huwepo.. ukiona umanunua gari alafu upewe documents anza kuandaa panadola mapemaa.. ujue kuna hujuma hapo
 
Kama raisi mwenyewe ameona kuna upigaji Mimi ni Nani Hadi nibishe? Hapa mama tunajupa hongera
 
Mama kaupiga mwingi, yule mjinga aliyekufa ghafla aliharibu sana hii nchi.
 

Tatizo nia njema iligeuzwa fursa, rushwa, urasimu, kero na upigaji.

Sasa wakale walikopeleka mboga.

Waliolikoroga ni waliokuwa wamepewa dhamana.

Waswahili ni mbuzi kasoro mkia!

Wangekuwa na akili bei yao ingekuwa ndogo zaidi kuliko huko nje. Urasimu na upuuzi wote ukawa hamna.
 
Kwani ndio ishapitishwa kuwa sheria rasmi au ilikua story tu ya kuchangamsha kijiwe?
 
Kwani ndio ishapitishwa kuwa sheria rasmi au ilikua story tu ya kuchangamsha kijiwe?

Mwanzo wa ngoma ni lele.

Hujui tunavyoshindanaga kuonyesha tumeheshimu matamko ya wakuu? Labda kwa huyu mwamba tu ambaye huwa anaweza kud*nda:

 
Tumepigwa vibaya sana
 
Mkuu acha fix...tyres zikiwa mbovu wateja wanarudishwa wakarekebishe then wanarudi kwa ajili ya RETEST..Mtu unaenda TBS na tyres za 2011 unategemea upitishwe kivipi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Povu la nini…utajua namna ya kuishi

Ukaguzi ufanyike huko huko kabla chombo hakijapandishwa melini

Hayo niliyokueleza sitaki opinion yako kwa kuwa sio hisia yamemtokea mtu wangu wa karibu sana ndani ya mwaka huu wa 2022
Mkuu acha fix...tyres zikiwa mbovu wateja wanarudishwa wakarekebishe then wanarudi kwa ajili ya RETEST..Mtu unaenda TBS na tyres za 2011 unategemea upitishwe kivipi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…