Tumuombee aishi ili aje kuona mafanikio ya wHawa ndio wakuombea kwa Mungu watangulie mbele za haki
Kama lengo lake ndio hilo sasa limedunda Watanzania na dunia nzima ndio wamezidi kumpenda Lisu na kuona anaonewaLengo la kumkamata Lissu ni kupoza upinzani haswa kasi ya Lissu maana watu walishaichoka CCM na wenyewe wanajuwa hayo. Huko Zanzibar watu wanaandamana kutaka Muungano uvunjike maana hawaoni umuhimu wake na raia wanalaumu viongozi wa CCM, in short, hata huko pia, CCM HAITAKIWI. Kila zama zina mwisho wake, CCM imefikia taamati, wananchi hatuitaki.
Mama Abdul (Samia) akitaka watu wamchukulie serious, aachane na kuwaweka kina kajamba nani (Steve Nyerere, Dotto Magari, Mwijaku) karibu naye, wale hawana akili za kushauri hata wake zao sembuse kuliongoza taifa. Unawapa vyeo vya usemaji mkuu wa serikali ili iweje?
Rais maslahiKama haya usemayo ni kweli basi atakuwa rais wa ajabu sana kama hayupo kwa ajili ya wajiri wake ambao ndio wananchi na wenye nchi yao
Mzee mnafiki sana mkuu. Siku ya matokeo ya uchaguz wa kenya aliongea kwa kutumia akili zake ila hapo kaongea kwa kutumia tamaa zake tuTumuombee aishi ili aje kuona mafanikio ya w
Watanzania wakiwa huru na katiba mpya ambayo yeye alishindwa kutimiza kiu hiyo ya Wananchi ya siku nyingi ajisikie vibaye nafsi imsute
Tena yeye ndiye rais mstaafu pekee aliyebakia alitakiwa awe mzee wa Taifa kusimama kwenye haki kwa watu wote asiwe mtu wa upande mmoja angejijengea heshima kama MwalimuMzee mnafiki sana mkuu. Siku ya matokeo ya uchaguz wa kenya aliongea kwa kutumia akili zake ila hapo kaongea kwa kutumia tamaa zake tu
Kampe sigara yako hiyo avute aburudike naye mzee wa Msoga 😄 🤣Hashauriki sa hizi hivi remoti iko msol.....£×,#*@waaaa
Hapa jukwaani nimefanya nini? Si nimemshauri kusoma hujui hata kuona huoni?Wewe ulishawahi kumshauri hakushaurika??
Kuwa na adabu na Rais wako.
Ndio ile akili za kuambiwa changanya na zakoHata wabaya ni washaur ye tu mgumu kungamua mambo
Mnafiki huyo. Wajuzi wa mambo wanasema yeye ndiye anachezesha hili game hivo ni mnnufaika. Mbona kule Kenya mzee Kenyatta amekuwa mtu wa kuwaunganisha wanasiasa wa kule ila huyu very snitching. Mpaka kale kaheshima tumemvunjia.Tena yeye ndiye rais mstaafu pekee aliyebakia alitakiwa awe mzee wa Taifa kusimama kwenye haki kwa watu wote asiwe mtu wa upande mmoja angejijengea heshima kama Mwalimu
Kikwete ni msaniiTena yeye ndiye rais mstaafu pekee aliyebakia alitakiwa awe mzee wa Taifa kusimama kwenye haki kwa watu wote asiwe mtu wa upande mmoja angejijengea heshima kama Mwalimu
Wakwele kama wazaramo vile wanafiki kama panya wanauma na kupulizaKikwete ni msanii
Ndio abajipitezea heshima yake kwa kuendekeza turbo lake na familia yakeMnafiki huyo. Wajuzi wa mambo wanasema yeye ndiye anachezesha hili game hivo ni mnnufaika. Mbona kule Kenya mzee Kenyatta amekuwa mtu wa kuwaunganisha wanasiasa wa kule ila huyu very snitching. Mpaka kale kaheshima tumemvunjia.
Wa kiwango cha rajipendekeza kwa bimkubwa ili akimaliza muda wake mwaye awe rais wa nchi hii ya wasadikikaKikwete ni msanii
Au ukute anajua kuwa anaweza ongea jambo na hana mamlaka akafanyiwa mbaya ndio maana anapenda kusema akili za kuambiwa changanya na zakoNdio abajipitezea heshima yake kwa kuendekeza turbo lake na familia yake
Anampigia debe mwanaye aje kuwa rais baadaye hakuna kingine zaidi ya kuwa chawaAu ukute anajua kuwa anaweza ongea jambo na hana mamlaka akafanyiwa mbaya ndio maana anapenda kusema akili za kuambiwa changanya na zako
Comedy 😃 😀Kikwete ni msanii
Kwa kweli. Tuwakatae hawaAnampigia debe mwanaye aje kuwa rais baadaye hakuna kingine zaidi ya kuwa chawa