figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
Salaam Wakuu,
Katika Uchaguzi wa 2020, rais Samia kipindi hicho akiwa Makamu wa rais, alisema hata ukipigia kura chama kingine, CCM itashinda.
Kwa kinachoendelea kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, inaonekana kabisa akili zake za mwaka 2020 ndo zilezile. Japo alikuja na 4Rs naona hazifanyi kazi.
Rais Samia anadai eti 4R(R nne) zinawakilisha Maridhiano (Reconciliation), Uthabiti (Resilience), Mageuzi (Reform), na Ujenzi Upya (Rebuild)
Nilitegemea kuona tofauti kwenye huu uchaguzi. Nilitegemea huu uchaguzi uwe tofauti na ile wa 2019 na 2020. Lakini hadi sasa sijaona tofauti.
Rais Samia kapanic sana.. Anamuona Waziri Mchengerwa ambaye ni Mkwe wake kama anamsaliti. Na Waziri Mchengerwa ili aendelee kuaminika na Mama Mkwe, kaamua kupika takwimu za uongo kuhusu Idadi ya Walliojiandikisha Serikali za Mitaa 2024. Eti ndani ya Siku 10 Watanzania Milioni 32 wamejiandika.
Mwaka 2020 tume ya Uchaguzi iliandikisha watu kwa Mwezi Mzima, lakini waliojiandikisha ni Milioni 29. Eti leo Watu wamejiandikisha kwa siku 10 tu, wamejiandikisha wa Milioni 32. Uongo
Pia soma:LGE2024 - Rais Samia: Uchaguzi wa Serikali za Mitaa usichukuliwe poa, utatoa taswira ya Uchaguzi Mkuu