DuaZaMama
JF-Expert Member
- Jun 2, 2025
- 1,882
- 4,153
Rais Samia Suluhu Hassan amesema kila hatua inayochukuliwa na Serikali inalenga kuinua maisha ya wananchi na kukuza uchumi wa Taifa.
“Ndugu zangu wa Simiyu, kazi yetu kama Serikali ni kushika zao moja baada ya jingine na kulipandisha. Tayari tumeanza na mazao kadhaa. Sasa tunaenda kwenye pamba,"
“Nataka niwaambie wananchi wa Simiyu, hatua yoyote tunayoichukua kama Serikali ni kwa faida ya wananchi, wakulima wa pamba na Taifa kwa ujumla, hakuna hatua itakayomuumiza mkulima.”
Rais Samia ameyasema hayo leo Juni 16, 2025, wilayani Bariadi, mkoa wa Simiyu, alipokuwa akizindua kiwanda cha kuchambua pamba na kiwanda cha kutengeneza mabomba ya maji, chini ya uwekezaji wa Kampuni ya Moli Oil Mills Co. LTD.