Rais Samia hautafanikiwa kuipoteza CHADEMA, nakuhakikishia hilo

Rais Samia hautafanikiwa kuipoteza CHADEMA, nakuhakikishia hilo

Unadhani wanalengo la kuifuta Chadema? Hapana, lengo ni kuhakikisha kunakuwa na vyama vya upinzani lakini havishiki dola. So, hii ni project ya kudumu, kila Rais ataifanya, kuudumaza upinzani.
 
Chama kina mbunge mmoja (tena ameasi chama) ila kelele zake mitandaoni ni kama wana 2/3 ya wabunge bungeni, mnasubiriwa feld tar 5 kama alivyotangaza katibu wenu.
Kwani nchi hii ina wabunge wako wapi mbona wote ni wateule wa Magufuli tu kitendo ambacho hata Mungu kilimuudhi akamuadhibu.

Ni vigumu sana kuamini kwamba hii nchi ina bunge unless uwe mvuta bangi.
 
Hata mwendazake alikuwepo kabla ya kwenda...
Watapita wanachama wote walio sasa....CCM ITABAKI.....

KUMSHAMBULIA kidharau mwenyekiti wetu wa CCM ni kukishambulia CHAMA na kila mmoja wetu......

GWAJIMA AFUKUZWE CCM
 
Kifo kipo, ila kina muda wake, Magufuli alikufa kabla ya muda kwa sababu ya ushenzi wake, subirini muone kitakachompata Samia majuha nyie
Tuambieni muda wake ulikuwa mpaka lini ?!!!

Hivi ninyi mnavutaga "bange" kwa kutumia masikio?si ndio ee?

Mh.SSH yupo na ataendelea kuwepo aamin mahobobo ninyi 🤣

ENDELEA KUUFUKUZA UPEPO
 
Nyie vijana wa CCM huwa hamna akili kabisa,ni mkosi mkubwa mno mzazi kuzaa mtoto juha Kama wewe
🤣🤣Mkuu una stress na sonona kuamua kuishambulia CCM ili upate ahueni ya nafsi ?!!

Karibu hapa MANDI uwaone vijana wa CCM walio na akili....ha ha ha

ENDELEA KUUFUKUZA UPEPO

#SerikaliMbiliMilele
#KatibaMpyaSiHitajiLaWatanzaniaWalioWengi
 
Huyu mama aliishatangazwa "Dead On Arrival" toka siku ile alipoapishwa kushika hatamu za uongozi.

Ccm wanaamini njia pekee ya kuweza kuwafanya waendelee kung'ang'ania madarakani ni kutawala kiimla kwa kutumia polisi, tume yao ya uchaguzi na usalama wa taifa.

Kuwakumbusha tu ni kwamba hata iliyokuwa USSR ilikuwa na hivyo vyombo tena vya kutisha acha hawa waganga njaa wao lakini bado utawala wao ulisambaratika vibaya.
 
Wewe unajua muda wake wa kufa ulikuwa ni lini?
Nyie mlimwita eti Magufuli ni Rais aliyeletwa na MUNGU ,angekuwa kaletwa na Mungu angeongoza Tanzania hadi astaafu,na kwa kuwa Mungu anapenda watu wake,angestaafu na kuishi na umri wa Bonus , lakini kwa kuwa alikuwa chaguo la Shetani Kama Samia alivyo,ndo maana yupo kuzimu sasa hivi achomwa moto kwa ushenzi wake
 
'Nyie' ni kina nani? Wewe ratiba za watu kufa unazijua?
 
Tuambieni muda wake ulikuwa mpaka lini ?!!!

Hivi ninyi mnavutaga "bange" kwa kutumia masikio?si ndio ee?

Mh.SSH yupo na ataendelea kuwepo aamin mahobobo ninyi [emoji1787]

ENDELEA KUUFUKUZA UPEPO
Nimeshakuambia wewe ni juha,nikikujibu tena,utaokota milioni 10...
 
Back
Top Bottom