Rais Samia hautafanikiwa kuipoteza CHADEMA, nakuhakikishia hilo

Dogo naandika kifalsafa zaidi std7 huwezi nielewa
Kama hii ndo falsafa baada ya kuvuta bhangi. Acha nisielewe na ni bora nisiwe hata standard 7 . Lemme be layman kabisa. Bhangi si nzuri hasa ile mnayochanganya na choo..
 
Usitumie kijambio kufikiri,Mzee Mtei yupo labda kama mna moango wa kwenda kuinyofoa roho yake leo maana mikono yenu imejaa damu isiyokuwa na hatia
Sasa kwa nini hapa nami nisiwe nmesema kifalsafa kama alivyosema mwenzio?
 
Usitumie kijambio kufikiri,Mzee Mtei yupo labda kama mna moango wa kwenda kuinyofoa roho yake leo maana mikono yenu imejaa damu isiyokuwa na hatia
Ndo shida kubwa ya watu wa aina yako...ndo wanachafua chama cha chadema. Hizi takataka zinafanya chama kionekane kina wahuni lakini kumbe hata wenye akili wapo. Kwa nini nyie hamjibu hoja kwa hoja? Mbona akina TL wanajibu hoja kwa hoja ...😂😂😂😂😂
 
Kama hii ndo falsafa baada ya kuvuta bhangi. Acha nisielewe na ni bora nisiwe hata standard 7 . Lemme be layman kabisa. Bhangi si nzuri hasa ile mnayochanganya na choo..
Watu wenye akili nyingi kuvuta bangi ni kawaida tu
 
Zoezi la kuiua CHADEMA alilianza Hayati Magufuli na kaondoka Duniani hajafanikiwa kuiua CHADEMA. Kwa maneno mengine rahisi, aliyetaka CHADEMA ife kafa yeye na kuiacha CHADEMA ikiwa hai.

Mbowe alikuwa hana tuhuma zozote za Ugaidi hapo kabla, lakini alipoanza vuguvugu la kudai Katiba Mpya mkamkamata na kumbambikia kesi ya kigaidi.

Police wanatoa hoja za kitoto za kuwafanya watu wote hawana akili. Eti walikuwa wakimchunguza na sasa wamepata ushahidi na kumkamata.

Swali kwa Police: Utamchunguzaje suspect huku akiwa huru? What if akitoroka?

Rais Samia, tunakuheshimu sana kama Rais wetu, lakini hatukuogopi. Tunayemwogopa ni mmoja tu, naye ni MUNGU.

Hakuna wa kututisha kuhusu kudai Katiba Mpya, tutaendelea kuidai kwa njia nyingi tofauti hadi tutaipata, na njia kubwa kuliko zote tumeanza kukushtakia kwa MUNGU. Kama utaweza kushindana na MUNGU basi CHADEMA itakufa, lakini kwa sababu Mungu huwa ni wa haki,atasimama kwenye haki.

Rais Samia, hautafanikiwa kwenye njama zako za kuiua CHADEMA, Mbowe siyo CHADEMA. Nyie mfanyeni vyovote vile mnavyojua, lakini mtakapoanza kulipa ghadhabu ya MUNGU msikimbiane humo.

Huwa mnajiona mna haki sana ya kufanya lolote, wakati ni ukuta, iko siku hamtavuka.
Mdogomdogo tu. Auoni CUF na ACT waliko? Kubaya wanasiasa za kufuata mtu ni mbaya sana. Akifa kama Maalifu Seifu, mambo yanakuwa magumu sana. Mbowe akinyammaza tu. Na chadema watasuasua. Sababu Chadema walaji ni wengi sana. Kila mtu wanaidai chama.
 
Naiona IGP ameamua kukwepa pepo taratibu kwa litushibitishia uongo mwaminifu
 
CCM ilishakufa siku nyingi imebaki ccmdola, ndio maana marehemu kichaa yule akavuruga uchaguzi wa 2019 na 2020 ili asiumbuke
 
Zoezi la kuiua CHADEMA alilianza Hayati Magufuli na kaondoka Duniani hajafanikiwa kuiua CHADEMA. Kwa maneno mengine rahisi, aliyetaka CHADEMA ife kafa yeye na kuiacha CHADEMA ikiwa hai.

Mbowe alikuwa hana tuhuma zozote za Ugaidi hapo kabla, lakini alipoanza vuguvugu la kudai Katiba Mpya mkamkamata na kumbambikia kesi ya kigaidi.

Police wanatoa hoja za kitoto za kuwafanya watu wote hawana akili. Eti walikuwa wakimchunguza na sasa wamepata ushahidi na kumkamata.

Swali kwa Police: Utamchunguzaje suspect huku akiwa huru? What if akitoroka?

Rais Samia, tunakuheshimu sana kama Rais wetu, lakini hatukuogopi. Tunayemwogopa ni mmoja tu, naye ni MUNGU.

Hakuna wa kututisha kuhusu kudai Katiba Mpya, tutaendelea kuidai kwa njia nyingi tofauti hadi tutaipata, na njia kubwa kuliko zote tumeanza kukushtakia kwa MUNGU. Kama utaweza kushindana na MUNGU basi CHADEMA itakufa, lakini kwa sababu Mungu huwa ni wa haki,atasimama kwenye haki.

Rais Samia, hautafanikiwa kwenye njama zako za kuiua CHADEMA, Mbowe siyo CHADEMA. Nyie mfanyeni vyovote vile mnavyojua, lakini mtakapoanza kulipa ghadhabu ya MUNGU msikimbiane humo.

Huwa mnajiona mna haki sana ya kufanya lolote, wakati ni ukuta, iko siku hamtavuka.
Kwel mungu atalipa
 
Chadema kinajimaliza chenyewe sana mtu kama Mdude naye ni sehemu yenu mnategemea nini hapo ?

Dkt Slaa arudi kuokoa jahazi maana linakwenda kuzama
Slaa ni balozi anakula vyema
 
Ndo shida kubwa ya watu wa aina yako...ndo wanachafua chama cha chadema. Hizi takataka zinafanya chama kionekane kina wahuni lakini kumbe hata wenye akili wapo. Kwa nini nyie hamjibu hoja kwa hoja? Mbona akina TL wanajibu hoja kwa hoja ...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ukileta hoja za kichoko lazima ujibiwe kihuni,iko hivyo.
 
Mdogomdogo tu. Auoni CUF na ACT waliko? Kubaya wanasiasa za kufuata mtu ni mbaya sana. Akifa kama Maalifu Seifu, mambo yanakuwa magumu sana. Mbowe akinyammaza tu. Na chadema watasuasua. Sababu Chadema walaji ni wengi sana. Kila mtu wanaidai chama.
Huna akili kabisa wewe
 
Back
Top Bottom