Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Hakuna kitu kama hikiWatu wameamka 2025 Samia anadhibitiwa na hatashinda.
Mkuu, wewe lizoee tu jina la Samia Suluhu Hassan, kutokana na katiba ya sasa ilivyo, huyu ndiye ana nafasi kubwa ya kuwa Rais wa nchi hii mpaka ifikapo mwaka 2030.Pamoja na kuwa mpaka sasa hakuna mpinzani makini na uhakika walio makini wamejificha na wanasubiri 2025 ikaribie na watajitokeza.
Lakini wakurugenzi wadhibitiwe kuchakachua matokeo na tum ya uchaguzi idhibitiwe kuchakachua matokeo. Rais Samia hatashinda.
CCM imegawanyika na wanaCCM wengu ndio watamnyima kura. Changanya na raia wa kawaida ambao tangu arithi urais kwao ni tabu tu maana hata wauza karanga wanamchukia kwa magumu wanayopata. Sasa hapo ndio ashinde urais?
Nadhani umeandika kwa dhana. CCM wamegawanyika? si juzi tu wamepitisha mabadiliko yao kwa 100%? si Makamu mwenyekiti tu kapita 100% au CCM ipi hiyo iliyogawanyika? Raia wa kawaida umefanya poll wapi kujuwa %? Hakuna Raisi akakubaliwa na watu wote hata JPM kwa magumashi tu alimpita Lowasa hata second time ilikuwa fake tu lakini hata fake hawakwenda 65%. Atakayepitishwa na CCM ndio atakuwa Rais sio vinginevyo sote tunayajuwa hayo.Pamoja na kuwa mpaka sasa hakuna mpinzani makini na uhakika walio makini wamejificha na wanasubiri 2025 ikaribie na watajitokeza.
Lakini wakurugenzi wadhibitiwe kuchakachua matokeo na tum ya uchaguzi idhibitiwe kuchakachua matokeo. Rais Samia hatashinda.
CCM imegawanyika na wanaCCM wengu ndio watamnyima kura. Changanya na raia wa kawaida ambao tangu arithi urais kwao ni tabu tu maana hata wauza karanga wanamchukia kwa magumu wanayopata. Sasa hapo ndio ashinde urais?
Why so much hate on herHata yeye sijui anatoa wapi matumaini ya kushinda! Hata kama wapiga Kura wangekuwa wale wa Enzi ya Adam na Hawa bsdo asingeshinda Uchaguzi wowote ule makini. Nchi hii wajinga wengi sana. Kama tusingekuwa Tunachagua maraisi wa kukamilisha mihula Bali wale wa kuchakata na kuuhuisha Maono ya Nchi na matamanio ya Wananchi basi huyu wala asingechaguliwa na wala asingejaribu hata kuwekeza mawazo Yake katika nafasi hizo.
unauhakika gani kama watu wana mchukia sema wewe unamchukia mbona tupo wengi tunaompenda kuliko wewe unayemchukia? unasemeaje nafsi ya mwenzio?Pamoja na kuwa mpaka sasa hakuna mpinzani makini na uhakika walio makini wamejificha na wanasubiri 2025 ikaribie na watajitokeza.
Lakini wakurugenzi wadhibitiwe kuchakachua matokeo na tum ya uchaguzi idhibitiwe kuchakachua matokeo. Rais Samia hatashinda.
CCM imegawanyika na wanaCCM wengu ndio watamnyima kura. Changanya na raia wa kawaida ambao tangu arithi urais kwao ni tabu tu maana hata wauza karanga wanamchukia kwa magumu wanayopata. Sasa hapo ndio ashinde urais?
Nani ataidhibiti?Pamoja na kuwa mpaka sasa hakuna mpinzani makini na uhakika walio makini wamejificha na wanasubiri 2025 ikaribie na watajitokeza.
Lakini wakurugenzi wadhibitiwe kuchakachua matokeo na tum ya uchaguzi idhibitiwe kuchakachua matokeo. Rais Samia hatashinda.
CCM imegawanyika na wanaCCM wengu ndio watamnyima kura. Changanya na raia wa kawaida ambao tangu arithi urais kwao ni tabu tu maana hata wauza karanga wanamchukia kwa magumu wanayopata. Sasa hapo ndio ashinde urais?
ndugu tupo mitaani kwani nazungumza kutoka wapi? yaani kila mtu yupo busy na mambo yake ya kutafuta hela wewe unaonekana huna cha kufanya na huna chakufanya kwasababu ni mvivu unasubiri uletewe hakuna hela rahisi ndugu hata ukiangalia utawala wote uliopita hakuna aiyekuwa anagawa helaIngia mitaani fanya sampling
Tafuta mahali pazuri pakuzikwa pale Chato jirani na MaguPamoja na kuwa mpaka sasa hakuna mpinzani makini na uhakika walio makini wamejificha na wanasubiri 2025 ikaribie na watajitokeza.
Lakini wakurugenzi wadhibitiwe kuchakachua matokeo na tum ya uchaguzi idhibitiwe kuchakachua matokeo. Rais Samia hatashinda.
CCM imegawanyika na wanaCCM wengu ndio watamnyima kura. Changanya na raia wa kawaida ambao tangu arithi urais kwao ni tabu tu maana hata wauza karanga wanamchukia kwa magumu wanayopata. Sasa hapo ndio ashinde urais?
Nani kaamka ndugu? Tuko vipofu tu, bora hata waliosinzia, kuna matumaini ipo siku wataamka. Hatujielewi na tumejaa hofu. Hatuna ujasiri wa kudai haki hata ikikandamizwa hadharani!Watu wameamka 2025 Samia anadhibitiwa na hatashinda.
Umemjibu vizuri sana . Haya majamaa yalizoe pesa za kuhongwa na magu kuuwa watu na mambo ya ovyo. Akina lusinde sasa hivi wamekosa content Bungeni wamekuwa majuha. Namsifu msukuma ameshituka amegeuka anaenda na wakati. Wamebaki mpina na wenzake.ndugu tupo mitaani kwani nazungumza kutoka wapi? yaani kila mtu yupo busy na mambo yake ya kutafuta hela wewe unaonekana huna cha kufanya na huna chakufanya kwasababu ni mvivu unasubiri uletewe hakuna hela rahisi ndugu hata ukiangalia utawala wote uliopita hakuna aiyekuwa anagawa hela
Sema anajichimbia kaburi kwa kumuamini mchaggaWatu wameamka 2025 Samia anadhibitiwa na hatashinda.