Na hili ndio jibu la swali kwa mleta mada. Hadi hapo hizi nafasi zitakapopatikana kwa vigezo, bado taifa lina safari ndefu sana.Katiba iliyopo inampa mamlaka ya kutumia utashi wake kufanya uteuzi, na sio yeye tu ni Rais yeyote awaye, usifikirie sana, utajipasua kichwa bure.
Tuna safari ndefu kuelekea ukombozi kutoka kwenye mikono ya wanasiasa. Ndo umejibu swali/maswali ya mleta mada?Hata Magufuri aliwahi mtumbua Mwigulu Nchemba na Simbachawene lakini baadaye akawarudisha tena kwenye madaraka.
Mwigulu aliponea covid19, alimpa jpm kitu anapenda yaani sifa ndipo akaula tena.Mbona Mwigullu Nchemba alitumbuliwa kisha akarejeshwa
Mpaka sasa nashindwa kuelewa Tumbili alikosea wapi ...... au ndiyo sasa wameanza rasmi kuwatema wale wote walionunuliwa na JPM ....!!Kafulila tena, Taifa linamuhitaji