Kijana LOGICS
Senior Member
- Dec 16, 2023
- 140
- 536
miaka yote ndio maisha yetu hayo, viongozi wanajali maisha yao .ilikuwaje mpaka ukasoma hayo masomo ,sasa hivi jira mpaka uzipambanie au pangiwi tu.Huwezi kusikia hâta Siku MOJA rais Samia akisema serikali itafanya moja MBILI Tatu kuajiri vijana jobless Tanzania.
Ni kama vijana wamesahalika kabsa hâta ajira zikitoka zinakua chache mno.
Kama VP serikali iongeze Kodi vijana jobless wapatiwe ajira kutokana n'a pesa za tozo
Mfano rais WA Kenya anatoa speech mbali mbali namna vijan WA Kenya watapatiwa ajira.
Bora maguful alisema Tanzania ya viwanda manake vijana wangepata ajira wiwandani.
Mimi ni jobless miaka 6 Niko mtaani masomo chemistry na biology
Nmejitolea sana finally nimekata tamaamiaka yote ndio maisha yetu hayo, viongozi wanajali maisha yao .ilikuwaje mpaka ukasoma hayo masomo ,sasa hivi jira mpaka uzipambanie au pangiwi tu.
ulichosomea ulikuwa unataka uwe nan?,ndio usimamie hapo. kikawaida unatakiwa usomee vitu unavyo viweza na kuvipenda sio kufata mkumbo course gani inalipa.Nmejitolea sana finally nimekata tamaa
Sio unataka kua nan Kaz Gan inalipa.ulichosomea ulikuwa unataka uwe nan?,ndio usimamie hapo. kikawaida unatakiwa usomee vitu unavyo viweza na kuvipenda sio kufata mkumbo course gani inalipa.
HILO LIKO WAZI KABISA MKUU,NAULIZA ILI NIWEZE KUKUSHAURI AU NDIO UMEKATA TAMAA BASI?Sio unataka kua nan Kaz Gan inalipa.
Nazungumzia ukosefu WA ajira kila sector ni Serious business
Inamana umehitimu 2017 mkuu??Huwezi kusikia hâta siku MOJA rais Samia akisema serikali itafanya moja MBILI Tatu kuajiri vijana jobless Tanzania.
Ni kama vijana wamesahalika kabsa hâta ajira zikitoka zinakua chache mno.
Kama VP serikali iongeze Kodi vijana jobless wapatiwe ajira kutokana n'a pesa za tozo
Mfano rais wa Kenya anatoa speech mbali mbali namna vijan wa Kenya watapatiwa ajira.
Bora maguful alisema Tanzania ya viwanda manake vijana wangepata ajira wiwandani.
Mimi ni jobless miaka 6 Niko mtaani masomo chemistry na biology
Mama anajitahdSiamini kama kuna raisi ameajiri kama huyy.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wanasema ajira zipo kibao..
1. Bodaboda
2. Uwinga
3. Uchawa
4. Kuuza account za Instagram...
Mwezi huu toka uanze nimecheka kwa mala ya kwanza kwa hili bandiko lako.Wanasema ajira zipo kibao..
1. Bodaboda
2. Uwinga
3. Uchawa
4. Kuuza account za Instagram...
Hawezi kuongelea maana hakuna mikakati anayopewa na watendaji wake..Huwezi kusikia hâta siku MOJA rais Samia akisema serikali itafanya moja MBILI Tatu kuajiri vijana jobless Tanzania
Huyo hata usomwongelee ndio chanzo cha hii changamoto aliweka petrol kwenye nyasi kavu.Bora maguful alisema Tanzania ya viwanda manake vijana wangepata ajira wiwandani.
Wewe nae ni mzembe ungekuwa umesoma kiswahili ningekusamehe ila chemistry na biology si uchanganye mechical mbalimbali utoe bidhaa tofauti tofauti uuze..Mimi ni jobless miaka 6 Niko mtaani masomo chemistry na biology