Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ndie una upeo mdogo kabisa ,mtoa mada hakuna sehem amesema atoe pesa yake mfukon Bali amesema angefanya mobilization kwa wafanyabiashara wa mkoa husika Maana huo mkoa una kila aina ya rasilimal.Hii hoja ya kitoto kama sio kijinga
Inatajwa kugharamia timu kwenda Libya unaweza fika million 140-200 sasa hizi anatoa wapi?
Yuko busy na mkeka wa mawaziri.Haiingii Akilini kwa Uyanga wake Pesa za kuwapa Timu Pinzani ( hasa hiyo ya Biashara United FC ) ya Mkoani Mara na hata ile ya Lipuli FC ( alipokuwa Iringa ) kila zikikutana kucheza na Timu anayoichukia ya Simba SC huwa anakuwa nazo lakini Pesa za Kuisaidia Biashara United FC kusafiri kwenda nchini Libya kucheza Mechi yake ya Kimataifa ya Kombe la Shirikisho hana.
Kitendo cha Klabu ya Biashara United kushindwa kusafiri kwenda Libya si tu Kimeiabisha Tanzania, Wewe Mwenyewe Rais Samia ila Kimeiabisha pia Serikali nzima ya Mkoa wa Mara ( Musoma ) iliyo chini ya Mkuu wa Mkoa 'Mnafiki' Ali Hapi kwa Kushindwa Kwake kuja na 'Mikakati' thabiti ya Kuisaidia hii Timu.
Marehemu Lawrence Gama Mkuu wa Mkoa Mfano bora kwa Wakuu wa Mikoa wapenda Michezo aliweza Kuziimarisha Timu zote zilizokuwa katika Mikoa aliyokuwa akiiongoza huko Ruvuma, Tabora na Morogoro ( kama sijakosea ) na kuja kuwa Tishio katika Ligi Kuu na hata Mashindano ya Kimataifa.
Haiingii Akilini kipindi cha Marehemu Gama hali ya Uchumi ya nchi ilikuwa nj mbaya ila Mzee Gama aliweza kufanya 'Mobilization' ya Watu Maarufu, Wafanyabiashara na Wananchi wa Kawaida kuweza Kuzichangia Timu za Mikoa yao kiasi kwamba Kilio cha Ukata ( Umasikini ) kulikuwa hakisikiki na hata Mikoa hiyo baadae ilikuja kusifika kwa kutoa Vipaji vingi na vikubwa vya Soka.
Leo hii Mkoa wa Mara ( Musoma ) ambao una Rasilimali za Kutosha ( kama Madini) na Kivutio cha Mbuga Kubwa ya Wanyama ya Serengeti huku kukiwa na Wafanyabiashara wakubwa na Matajiri wa Viwanda, Makampuni na Uvuvi lakini Mkuu wa Mkoa wa 'hovyo' Ali Hapi ameshindwa Kutumia vyema Akili zake na kuwa 'Mbunifu' Kuisadia Klabu ya Biashara United FC ya Mkoani Kwake Mara Kusafiri kwenda nchini Libya ila kutafuta Pesa za 'Kuihujumu' Simba SC kila ikicheza na Timu za Mikoa anayokuwa huwa anazo, hakosi na anajua anakoweza kuzipara tena kwa haraka kabisa.
Mama ( Rais ) mfukuze tu huyu Mnafiki.
Hapo naona unatafuta kichaka cha kumbebesha mzigo mkuu wa mkoaWewe ndie una upeo mdogo kabisa ,mtoa mada hakuna sehem amesema atoe pesa yake mfukon Bali amesema angefanya mobilization kwa wafanyabiashara wa mkoa husika Maana huo mkoa una kila aina ya rasilimal.
Mkuu wa mkoa kwa mamlaka aliyonayo asingekosa au kushindwa kuchangisha 200m kuwezesha timu isafiri Maana hiyo timu ni nembo ya mkoa husika na mwenye mkoa ni huyo hapi.
Mkoa mzima sidhan Kama wafanyabiashara wakubwa hawafiki 50 ambao wangeombwa mchango na mkuu wa mkoa wangeshindwa kuiboost timu hata kwa 5m kwa kila mmoja .
Uongozi ni ubunifu na kuona dalili mbaya zilizopo mbele kwenye Mambo ya msingi ndani ya eneo unalotawala .
So hujamwelewa mtoa mada ,nadhan yuko sahihi [emoji817] coz Hilo lilikuwa ndani ya uwezo wake .
Na hata km aliogopa kuonekana ni mpigaji angetoa kibal kwa wahusika wa timu wapitishe mchango kitaa huku kukiwa na uhamasishaj wake na hiyo pesa wangekusanya wahusika tu ili kuondoa kuhisiwa na swala la upigaj au kujipatia pesa kinyume Cha kanuni za utumishi wa umma.
GENTAMYCINE huwa naeleweka vyema hapa JamiiForums na Watu Intelligent ( Genius ) wachache kama Wewe, ila Fools ( Idiots ) wengi ( wakiongozwa na huyo uliyemjibu tony92 kwa Kumuelimisha zaidi ) hushindwa Kunielewa na wakijikuta nawadharau tu Mkuu.Wewe ndie una upeo mdogo kabisa ,mtoa mada hakuna sehem amesema atoe pesa yake mfukon Bali amesema angefanya mobilization kwa wafanyabiashara wa mkoa husika Maana huo mkoa una kila aina ya rasilimal.