Rais Samia ikikupendeza mfute kazi RC wa Mara, Ally Hapi kwa Kushindwa Kuisafirisha Biashara United FC kwenda Libya

Hii hoja ya kitoto kama sio kijinga

Inatajwa kugharamia timu kwenda Libya unaweza fika million 140-200 sasa hizi anatoa wapi?
Wewe ndie una upeo mdogo kabisa ,mtoa mada hakuna sehem amesema atoe pesa yake mfukon Bali amesema angefanya mobilization kwa wafanyabiashara wa mkoa husika Maana huo mkoa una kila aina ya rasilimal.
Mkuu wa mkoa kwa mamlaka aliyonayo asingekosa au kushindwa kuchangisha 200m kuwezesha timu isafiri Maana hiyo timu ni nembo ya mkoa husika na mwenye mkoa ni huyo hapi.
Mkoa mzima sidhan Kama wafanyabiashara wakubwa hawafiki 50 ambao wangeombwa mchango na mkuu wa mkoa wangeshindwa kuiboost timu hata kwa 5m kwa kila mmoja .

Uongozi ni ubunifu na kuona dalili mbaya zilizopo mbele kwenye Mambo ya msingi ndani ya eneo unalotawala .

So hujamwelewa mtoa mada ,nadhan yuko sahihi [emoji817] coz Hilo lilikuwa ndani ya uwezo wake .

Na hata km aliogopa kuonekana ni mpigaji angetoa kibal kwa wahusika wa timu wapitishe mchango kitaa huku kukiwa na uhamasishaj wake na hiyo pesa wangekusanya wahusika tu ili kuondoa kuhisiwa na swala la upigaj au kujipatia pesa kinyume Cha kanuni za utumishi wa umma.
 
Yuko busy na mkeka wa mawaziri.
 
Hapo naona unatafuta kichaka cha kumbebesha mzigo mkuu wa mkoa

Wao kama biashara na uongozi wao washawahi kuwafwata hao wafanya biadhara na kuwashirikisha hali yao ya kiuchumi? Huo ubunifu unaouongelea wangeanza kuwa nao viongozi wa timu sidhani kama timu ingekua katika hali hiyo.
 
GENTAMYCINE huwa naeleweka vyema hapa JamiiForums na Watu Intelligent ( Genius ) wachache kama Wewe, ila Fools ( Idiots ) wengi ( wakiongozwa na huyo uliyemjibu tony92 kwa Kumuelimisha zaidi ) hushindwa Kunielewa na wakijikuta nawadharau tu Mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…