Rais Samia, ili kupambana na Rushwa weka misingi ya Taifa anayethibitika kupokea rushwa anafukuzwa urgently

Rais Samia, ili kupambana na Rushwa weka misingi ya Taifa anayethibitika kupokea rushwa anafukuzwa urgently

kifupi kirefu

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2018
Posts
539
Reaction score
3,507
Lipo tatizo kubwa la rushwa Kila sekta.

Kisingizio kikubwa Watumishi wa umma ni mishahara midogo. Nakishauri Mhe. Rais weka kifungu cha sheria kinachomwajibisha mpokea Rushwa akiwa mtumishi wa Umma na pale anapofukizwa kazi pengo lake lizibweKwkwa haraka arudi uraiani akaishi bila mshahara tuona kama mshahara kwake ulikuwa unatosha au autoshi.

Haiwezekani wanaolipwa mshahara kutuhudumia ndio wanageuka wanyonyaji wakubwa wakitamka adharani mshahara mdogo.

Huo wakwao mdogo kama hautoshi wamewahi kuwaza vijana wasio na ajira wanaishije? Waleteni uraiani then wapeni vijana huo mshahara mdogo
 
Rushwa haiwezi kuisha MKUU. Tutajisumbua bure
 
Back
Top Bottom