Huu ni kutokana na ukweli kwamba,hata hizo Nchi ambazo zimeendelea ni kwasababu tu ya usimamizi bora wa mapato ya ndani ya Nchi.
Tunayo mifano mingi ya kuweza tumia kama rejea.Kwa mfano Nchi ya India ilikuwa chini ya koloni la Uingereza mnamo mwaka wa 1947, India ilipata uhuru wake wa bendera.
Hata Nchi ya China,nayo ilikuwa Nchi maskini sana.Lakini kutokana na jitihada za Viongozi wao walifanikiwa kuujenga uchumi wao kwa mda mfupi.
Nini kifanyike ili kuboresha uchumi wa nchi yetu?
Kwanza kabisa tuwe na sheria kali dhidi ya wahujumu uchumi wa Nchi yetu.kwa hili Wafisadi pamoja na wala rushwa kuwe na sheria ya kunyongwa.Hii itasaidia kuiogopa mali ya umma na kuiheshimu kama mali ya umma wala si mali yake binafsi.
Uwepo wa Katiba Mpya ambayo itokanayo na watanzania wa chini watoe maoni yao cha nini kifanyike na wapi turekebishe,siyo Katiba itokanayo na Viongozi ilimradi kulinda maslahi yao Binafsi.
Uwepo wa Demokrasia makini isiyopendelea au kuegemea upande wowote ule.
Muhimili yote mitatu kwa maana ya Rais, Bunge na Mahakama kuwa huru pasi kupendelea au kuingiliwa na Mhimili mwingine.
Uwepo wa Dira ya Nchi/Taifa ambapo kiongozi anayepatikana haijalishi Chama chake aweze kusimamia vyema rasilimali za Nchi/Taifa kwa ujumla.
Uwekezaji wenye tija kwa taifa na si bora uwekezaji, rasilimali za nchi zikisimamiwa vizuri zitaujenga uchumi wetu kuendelea kuwa uchumi imara kutokana na uwepo wa rasilimali za umma kama Dhahabu, Almasi, Gesi asilia iliyopo kusini, Hifadhi, Maziwa, Bahari, Mito, Maporomoko Ardhi yenye rutuba na nyinginezo.
Uwazi na Uzalendo wa kwelikweli kwa viongozi na wananchi kwa jumla, Tunapaswa tuipende Tanzania yetu haijalishi nafasi au hadhi iliyonayo ndani ya Jamii yako au Taifa kwa ujumla wake.
Uwepo wa vyama vya Siasa vyenye ilani inayotekelezeka,wala siyo propaganda za kuhadaa wananchi wakati wa kampeni.Huku nikuwafanya wananchi kushindwa kuelewa dhamira ya Viongozi wa kisiasa kuwa Nyeupe na Nyeusi ni yupi mkweli na
Yupi Muongo.
Hivyo wananchi wanabaki njia panda kwa miaka mitano, inakuwa safari ya Matumaini kila baada ya miaka mitano.

Upvote
0