Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan,kwa uchungu mkubwa sana na hisia kali sana amesema na kuwaomba sana wananchi kujitokeza kwa wingi kuchagua viongozi katika uchaguzi ujao wa serikali za mitaa.lakini pia wenye sifa za kuchaguliwa nao waombe na kuchukua fomu kwa ajili ya kuchaguliwa.
Lakini Rais wetu Mpendwa kwa moyo wa uzalendo na uchungu na Taifa hili amewaasa sana watanzania kuhakikisha kuwa wanakwenda kuchagua viongozi na wagombea wa CCM tu.kwa sababu serikali ya CCM ndio yenye uwezo wa kuendeleza amani na utulivu wa Taifa letu.
Akasema kuwa wale wengine kazi yao ni kuhamasisha habari za maandamano,kusukumana sukumana na mavurugu vurugu yasiyo na tija.
Nami kama mwana CCM kindaki Ndaki namuunga mkono Rais wangu kuwa ni muhimu sana wananchi wote kuhakikisha kuwa ukifika katika sanduku la kura basi chaguo kiongozi na mgombea wa CCM tu. Maana CCM imejipanga vyema kusimamisha wagombea bora, wachapakazi,waadilifu, wazalendo,wasikivu, wanyenyekevu,watiifu,watulivu, makini,imara na wenye rekodi nzuri na tabia njema kwa jamii na wanaokubalika na watu.
CCM imejipanga kuwaleteeni wagombea ambao watakuwa watumishi kwa watu,sauti za watu,kimbilio lawatu .CCM itawaleteeni wagombea wenye kuendana na kasi ya Rais Samia .wenye uwezo wa kusimamia pesa zote zitakazoletwa kwenye maeneo yao kwa ajili ya miradi ya maendeleo, kuhamisha maendeleo,kushirikisha watu katika mipango mbalimbali ya maendeleo pamoja na kuwa karibu na watu wakati wote.
Hivyo hakikisheni watanzania wote mnakuwa na chaguo moja tu la kwenda kuwachagua viongozi wa CCM tu katika sanduku la kura.jitokezeni kwa wingi sana kuwapa ushindi wa kishindo wagombea wa CCM
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.