Pre GE2025 Rais Samia: Ipigieni kura CCM kwasababu maandamano siyo sera yetu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hiyo siyo sera ya CCM hata siku moja. Sera za CCM ni bora na nzuri na ndio maana imeendelea kuaminika na kuaminiwa na watanzania na kuchaguliwa katika kila uchaguzi
Kwanini wahusika ambao wanatajwa kwenye report ya CAG hawachukuliwi hatua?
 
Ccm tukiwa wapinzani hatutoandamana?
 
Yale maandamano ya kusifia kumbe ni kosa?
 
Kwahiyo hayo maandamano mnayoyafanya ya kupongezana ni nje ya sera ya ccm?
 
Kwahiyo hayo maandamano mnayoyafanya ya kupongezana ni nje ya sera ya ccm?
Tofautisha maandamano ya amani na yale watakayo kufanya CHADEMA yenye kauli za kihaini kama ile ya kusema Samia Must Go
 
Tofautisha maandamano ya amani na yale watakayo kufanya CHADEMA yenye kauli za kihaini kama ile ya kusema Samia Must Go
Sasa maandamano yasiyokuwa na hata jiwe mikononi unasema ni ya uhaini?

Ndio maana utegemezi wenu ni wa policcm.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…