USSR
JF-Expert Member
- Jul 15, 2015
- 10,904
- 26,184
Rafiki wa kweli ni yule anayekusaidia nyakati za shida tena bila kumuomba hapa namzumgumzia Marekani ambao misaada yao imekuwa ikiaminika hapa Tanzania kila mwezi kupitia USAID leo wanamatatizo tusikae kimya.
Tornado imeuwa watu wengi na kuharibu mali huku wengi wakiachwa bila makazi na majeruhi kama kimbunga cha Malawi na tetemeko la ardhi Turkey na tumetoa misaada.
Kwa kuwa juzi ulitoa msaada kwa waturuki ambao tangu tupate uhuru hawajawahi kutupa msaada wa kibinadamu kwa yote tuliyopitia itakuwa dhambi kubwa kwaacha wamarekani ambao kila kukicha wanatupatia misaada na wewe ukiongoza kwenda kuomba.
Utamke mbele ya makamu wa rais Kamala Halisi soon atakapo tia miguu hapa Tanzania