Mkumbwa Jr
JF-Expert Member
- Mar 23, 2016
- 2,668
- 3,751
Mh. Rais ninakusalimu kwajina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Kwaufupi ninashauri Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu itazamwe upya.
Menejimenti ni mbovu, huduma sio rafiki, wahitaji kama yatima na maskini hawajapewa Mikopo na wengine wameacha vyuo na wakati huo wapo ambao wanamudu kujisomesha na bado wamepewa.
Ukifika Bodi hata kuulizia marejesho au makato yao namna wanavyoyaendesha utachoka.
Unaanza kupokelewa na Dada mwenye dharau pale mapokezi, ukikaza ukaingia ndani ukakutana na mtoto mmoja ambae ni PS anaitwa Jacobo hapo utajuta kufika Bodi.
Huyo Jacobo bado nimtoto kufanya kazi kwenye taasisi kama ile,sijajua nani amemuweka pale yule mtoto yaani hana busara,hana huruma bali amejawa na vitisho
Yaani wapowapotu wanaishi na kuenenda kwa mazoea. Sio watoa huduma bali nimabosi
Wamefanya Bodi hiyo kama upatu maana marina nimakubwa mno na hayapo kwenye mkataba wa mteja na Bodi.
Hawawasaidii maskini wanaohitaji kama yatima nk bali wanafanya kazi kama sio kwa rushwa basi ni bahati nasibu. Wanapiga anaana doo atakaepata na atakae kosa ni kazi ya Mungu.
Yaani ukifika pale Bodi utachoka.
Mh. Tuma watu wako waende pale kama wazazi ambao watoto wao wanauhitaji majibu yatokayo hapo utafurahi
Mh. Rais HESLB wachunguzwe vizuri kisha menejimenti wazingueeeeee maana nao walishaanza kuzingua
Mh. Rais kazi iendelee