Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio hivo, yani hili deni haliishi, nasubiria kidogo tu nikalipe deni lao niachane na hii biashara kichaaNa inaongezeka kila uchwao ukienda baada ya mwaka utakuta mil 4.6+6% ya ya deni lililobaki
PoleKuna siku nilifika ofisini wakiwa Mwenge, Niko pale ndani nikafika kwa dada mmoja mweupe kableach nywele nataka kuanza kueleza haja yangu akaniambia nenda kwa yule. Yule mwenzake akamuuliza naona uko busy. Alichojjibu
" shoga nachagua gari hapa mtandaoni"
Hakunihudumia Mimi sababu alikuwa anachagua gari.