HESLB,Kuna neno nilitaka niwatamkie lakini nimetumia busara kuli mute.hawa ni uozo na matambala wote,kuanzia boss wao ,mpaka watendaji wa chini.mimi mwaka juz nimekuta wamenibambikia Deni kwamba nadaiwa mil.15.9,wakati mkopo sikuwahi kupewa,nikakomaa mwenyewe .Nina hasira nao hawa,shwain zao.