Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Juhudi za Rais Mama Samia zinatia moyo.
Wawekezaji wakubwa wameanza kurudi, ingawaje hawajafikia kiwangi cha kabla ya Awamu ya Tano.
Nimesafiri mikoani na nimeona ongezeko kubwa la shehena za kibiashara kwa wingi mkubwa wa maliri ya kibiashara.
Hili halikuwepo kabisa mwishoni mwa mwaka jana na mwanzoni mwa mwaka.
Binafsi nilikuwa natafuta mteja wa kiwanja changu cha kibiashara Mkuranga, eka 15.
Miaka miwili hadi mwanzoni mwa mwaka hakuna aliyekuwa interested, sasa naona dalili ya kukiuza kiwanja karibuni.
Juhudi za kuwakaribisha wawekezaji zinazaa matunda mazuri sasa hivi.
Watu wanabeza Mama Samia akizunguka huku na huko kuwatafuta wawekezaji na mikopo ya riba nafuu.
Wanasahau kuwaukitaka cha uvunguni sharti uiname.
Mama endelea na juhudi za kufufua uchumi, wanaobeza leo watayaona manufaa baadaye.