SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 50,104
- 75,552
Ni yeye anataka Mbowe afungwe hilo halina ubishi.Swala na Mbowe inakuwa je aangushiwe wakati ni ya wakati wake, na DPP alimteua yeye na akamuagiza atupilie mbali makesi ya hovyo, if any, ilikuwa jeDPP mpya wake alilibeba file la Mbowe na kuendelea nalo?
Huo siyo utawala Bora. Kama Hana hatia Mahakama itaamua, kama ushahidi ni dhaifu mahakama itaamuaSimple, ni isssue ya kumuita DPP na kumpa mawazo yake na ambavyo angelipenda hili la Mbowe liishe maana kuna ushahidi usio na ubishi kuwa amesingiziwa . Ana dictate kuwa futa hii..... wakiwa wawili na huyu anatekeleza
Swala la Mbowe ni la muhimili wa mahakama!
Mahakama ipi? compromised one!Huo siyo utawala Bora. Kama Hana hatia Mahakama itaamua, kama ushahidi ni dhaifu mahakama itaamua
Basi jengeni ya kwenuMahakama ipi? compromised one!
Waliombambikia ndio wamelogwa, bila shaka ikiwa ni pamoja na wewe.Acheni ujinga basi,mmerogwa?
Ze shortest na prove kuwa ni miongoni mwa sgang mwenye hasira kwa kujeruhiwaš¤.Rubbish , hii ndio style ya kumtongoza mama samia ?,too low
Mbowe anatuhuma za ugaidi,muacheni ajitetee,Mbona Mandela alikaa miaka 27 jela akawa rais wa A.kusini ,kwanini upande wa Mbowe mnaogopa ?
Waliombambikia ndio wamelogwa, bila shaka ikiwa ni pamoja na wewe.
Ze shortest na prove kuwa ni miongoni mwa sgang mwenye hasira kwa kujeruhiwaš¤.
Huo siyo utawala Bora. Kama Hana hatia Mahakama itaamua, kama ushahidi ni dhaifu mahakama itaamua
Basi jengeni ya kwenu
Naofisi za chama zinazojengwa zinahujumiwa chini ya usimamizi wa Wa wazee wa pgo, je vipi kwingineko.?Mnazuia mikutano hata ya ndani mtaruhusu ujenzi?
Aliliongelea la nini kama alijua ni la muhimili wa mahakama?Swala la Mbowe ni la muhimili wa mahakama!
yeah, vita ya makundi anapaswa ayaachie makundi maana itamharibia kama atajiingiza kichwa kichwa, vice wake na pm wake wote ni sukuma gang, kama atajitia kwenye vita hii anguko lake litakua karibu mno.Angejikita kwenye haki na maridhiano ilikuwa inatosha sana.
Katiba mpya ingekuwa na tija zaidi kwake kuliko hata ya urais wa post 2025.
Au walimdanganya wale wazee wa pgo na kumhakikishia kuwa sio malaikaš¤.Aliliongelea la nini kama alijua ni la muhimili wa mahakama?
yeah, vita ya makundi anapaswa ayaachie makundi maana itamharibia kama atajiingiza kichwa kichwa, vice wake na pm wake wote ni sukuma gang, kama atajitia kwenye vita hii anguko lake litakua karibu mno.
Tunasubiri ushahidi wa ugaidi kwenye kesi ya FAM. Hadi sasa hatujaona concrete evidence yoyote ya ugaidi hadi sasa zaidi ya mbege ya Rau na Mo Energy.Kwa katiba tulimo mhimili wake umejichimbia zaidi.
Hashindwi kuwakutanisha DPP na AG informally (au kwa niaba yake) kuona namna iliyo bora zaidi ya kutoka kwenye jumba bovu hilo la hiyo kesi.
Inaelekea kuna ukweli kwenye tuhuma za Mbowe maana kundi kubwa la watu wanaingilia uhuru wa mahakama pia wanamshinika Rais aiingilie mahakama kwa kumwondolea kesi Mbowe.
Naanza kuamini kwenye ukweli wa tuhuma za huyu jamaa maana siyo kwa kelele hizi