Rais Samia jumba bovu analilea mwenyewe

Msimpangie...

Hakuna anapopangiwa. Uzi wala haumhusu kwa maana hauko addressed kwake.

Haya mbona ni mazungumzo ya wanaoiona hali kutokea nje?

Aliita Trump - hizi ni Locker room talk tu.
 
Mbona mbowe mnapiga kelele kuna wafungwa wangapi magerezani subiri mahakama iamue hatma ya mbowe ile ni mhimili mwingine
Sio kelele,ushahidi unaokuja MAHAKAMAN unaonesha kabis hakuna la maana,uzuri ata wewe unajua hilo
 

Ni siasa chafu zinazotokana na mfumo mchafu na Katiba isiyofaa.
Viongozi wa kiafrika wametiwa upofu kwa maovu yao na nia zao zilizoja ubinafsi.
Yesu Masihi alisema watazama Lakini hawataona.
Katiba iliyopo hata akitawala malaika ,atatengemezewa Michezo michafu na wale waliomzunguka ili wao ama waibe au wajihakikishie Kuwa maharaka ni Yao na watoto wako.
Wakati wa JPM ana Pole pole walimuaminisha Kuwa adui wa nchi hii ni wapinzani ,ikatumika nguvu kubwa na Haramu kinyuma cha sharia ili kuua na hata kuwapoteza wapinzani. Zilitumika fedha nyingi kuwahonga watu ili kuua upinzani . Wakurugenzi na PolisI wakavuruga uchaguzi matokeo yake leo Tanzania hakuna wawakilishi wa wananchi. Kila kitu kinapangwa na dola na kusimamiwa na dola kwa nguvu ya dola Kuanzia kwenye mitaa mpaka Juu.
JPM akapotoshwa na Kuanza kupambana na akina Lisu na wabunge na madiwani. Matokeo yake Wahuni wakajikeza wakaanza kujizolea mapesa kwa wafanyabiashara kwa vitisho.
Serikali ya awamu ya Tano ilitumia Mwanya wa kutafuta kundi na kulisukumizia lawama za Mabaya kama ilivyokua ya nne,ya tatu,ya pili na ya Kwanza ambayo nayo ilitumia muda kulaumu wakoloni huku Serikali ikishindwa kusimamia kila kilichoachwa na mkononi mpaka migodi ya madini na Mashamba yaliyokuwa bora katiba wakati wa mkojani.

CCM wakiikumbatia katiba hii watambue Wazi kua ZambI ya kutengenezeana mizengwe ,fitina na uzushi haitawaacha wakistaafu au akija wa awamu nyengine
 
CCM ni wajaa laana, tunapaswa kuwang'oa madarakani kwa nguvu maana wanaliharibu taifa lenye raslimali za kutosha kwa maslahi yao binafsi.
 
Alitakiwa kwanza kuomba radhi watz kwa matendo ya awamu ya 5, pia ilibidi atubu KWA mola Toba ya dhati, ya moyo Ili tuondolewe laana aliyoileta magufuli. Vinginevyo hakuna atakalofanya likaonekana,
 
CCM imebakia ni kundi dogo la watawala lisilo na support yeyeote na wananchi.. wanajua kuruhusu mikutano ya hadhara, kufanya uchaguzi huru na haki watakuwa wamejikatia tiketi yao ya kuwa chama cha upinzani.
 
Kwani Rugemarila aliachiwa na mahakama?Jibu ni hapana.
Lakini kesi yake si ilikuwa mahakamani? Kwa kifupi Rais hashindwi jambo ndani ya nchi yake.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…