B brazaj JF-Expert Member Joined Jul 26, 2016 Posts 34,775 Reaction score 46,063 Dec 6, 2021 Thread starter #81 Ntozi said: Kwani Rugemarila aliachiwa na mahakama?Jibu ni hapana. Lakini kesi yake si ilikuwa mahakamani? Kwa kifupi Rais hashindwi jambo ndani ya nchi yake. Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app Click to expand... Kama yalivyokuwa haya: Your browser is not able to display this video. Ikatokea kesi hii ikafutwa usishangae hao hao: Ibambasi, thetallest, Jumbe Brown na binamu zao wakipaza sauti za pongezi kwa Mtukufu raisi kuliko wengine wote. Huwa wanakaukiwa maneno? Mbona hata wingi wa huruma utausikia? Hiiiiii bagosha!
Ntozi said: Kwani Rugemarila aliachiwa na mahakama?Jibu ni hapana. Lakini kesi yake si ilikuwa mahakamani? Kwa kifupi Rais hashindwi jambo ndani ya nchi yake. Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app Click to expand... Kama yalivyokuwa haya: Your browser is not able to display this video. Ikatokea kesi hii ikafutwa usishangae hao hao: Ibambasi, thetallest, Jumbe Brown na binamu zao wakipaza sauti za pongezi kwa Mtukufu raisi kuliko wengine wote. Huwa wanakaukiwa maneno? Mbona hata wingi wa huruma utausikia? Hiiiiii bagosha!
B bonabana JF-Expert Member Joined Mar 5, 2016 Posts 421 Reaction score 514 Dec 6, 2021 #82 johnthebaptist said: Swala la Mbowe ni la muhimili wa mahakama! Click to expand... Muhimili upi huo? akili ya jaji aina tofauti na ya baba levo, hao Mawakili wa serikali ndio ovyo kabisa team lumumba. Sent from my G3311 using JamiiForums mobile app
johnthebaptist said: Swala la Mbowe ni la muhimili wa mahakama! Click to expand... Muhimili upi huo? akili ya jaji aina tofauti na ya baba levo, hao Mawakili wa serikali ndio ovyo kabisa team lumumba. Sent from my G3311 using JamiiForums mobile app