The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 4,118
- 9,864
Mara kadhaa nimemsikia Rais akijibu hoja nzito kwa vijembe na taarabu.
Watu wazima na akíli zao wanajipanga kutoa hoja afu wewe bila staha yoyote unasema ni Makelele.
Aendelele kushapaza shingo na hao wanaompa kichwa mda ukiwadia hatawaona tena.
Tanzania ni ya Watanzania siyo ya Rais Samia. Lolote analofanya lazima aheshimu maoni ya watu anaowaongoza.
Kama anadhani hoja zinazotolewa kuhusu mambo mbali juu ya utawala wake ni Makelele basi aendelele kuziba Masikio, muda utaongea.