The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 4,118
- 9,864
Keyboard worrious wanahangaika mnoo,kila dakika wanapandisha uzi..ila barabarani wanajitokeza 7Kelele za chura hazijawahi kumfanya tembo azibe masikio au kuacha kunywa maji mtoni🐒
Mzanzibar wanaojiita Waarabu,hawajawahi kuwa na historia ya kuipenda Tanganyika,Mara kadhaa nimemsikia Rais akijibu hoja nzito kwa vijembe na taarabu.
Watu wazima na akíli zao wanajipanga kutoa hoja afu wewe bila staha yoyote unasema ni Makelele.
Aendelele kushapaza shingo na hao wanaompa kichwa mda ukiwadia hatawaona tena.
Tanzania ni ya Watanzania siyo ya Rais Samia. Lolote analofanya lazima aheshimu maoni ya watu anaowaongoza.
Kama anadhani hoja zinazotolewa kuhusu mambo mbali juu ya utawala wake ni Makelele basi aendelele kuziba Masikio, muda utaongea.
Ni masikitikoMzanzibar wanaojiita Waarabu,hawajawahi kuwa na historia ya kuipenda Tanganyika,
Ashaiuza na pesa katia mfukoni