Rais Samia kapata wapi ujasiri wa kusafiri ilhali kuna majanga nchini?


Ushasema vitani
 
Wewe nyumbu una tofauti ipi na hao unaowatolea mifano? πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Inaumiza Sana Sana
 
Endelea kuumia Mzee wewe sio mgeni na mada za kuponda Samia.

Unatakiwa uelewe kwamba Serikali Iko kazini na Rais Yuko safari kikazi ,hawezi kuahirisha safari Kwa sababu hakuna sababu ya msingi ya kuahirisha maana Nchi haiko kwenye Haki ya hatari Wala hakuna kilichosimama kwamba kutokuwepo kwake kunazuia kazi.

Hayo ni maoni ya hater ndio maana nilikuuliza unadhani angekuwepo ndio kungetokea nini labda? πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://www.instagram.com/p/DCebF1wtCD1/?igsh=YWR1ZDh6M2Y0OTc1
 
Hajawahi kuonyesha kujali hizi drama.Anacho jali ni,asiwepo wa kumkosoa ama wakusema kasoro/mapungufu yake.
 
Unaroho mbaya
 
Kwani ni zanzibar hadi ashtuke nduguze wapo huko inamuhusu nini nandugu ze hawapo huko
 
unadhani kwenye uokozi wanaendaga kuimba ngonjera au kwaya sio? ukiangukia na tofali ndio uonekane una kiherahere au?πŸ’

Point ni kwamba
Wewe Endelea kuona Jambo Kwa upande wako

Na wengine Acha waendelee kuona kuna umuhimu wa Rais wao kuwa eneo la tukio kutoa faraja

Shida yenu machawa mnataka kujimilikisha na kuwa wajibu hoja za mtu yoyote ambae anatoa mawazo yake Kwa rais
 
aliekuzuia kufikiri unavyoweza kufikiri ni nani gentleman?

wewe pandisha mori, pandisha mihemko na ghadhabu kadiri uwezavyo lakini ni muhimu sana ukajua kwamba licha ya kwamba ni uhuru wako but ni useless na nonsense kabisaa πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…