Rais Samia karuhusu upandaji wa LUKU mwisho wa mwezi, kipindi wakiwa na Magufuli waliahidi kushusha bei ya umeme, Imekuwaje?

Mkuu, hio ni kodi ya nyumba, haihusihani na TANESCO,
kingine wabongo tuache kulia lia,
Mfuate mwenye nyumba wako, mwambie arudishe hio 18k unayolipa kwa mwaka, mana ni jukumu lake, mbona simple tu ?

Yan tunalia vitu vidogo vya kusolve wenyewe
We jamaa vipi asee.. acha use* nani kakwambia kodi ya ardhi hiyo... so hata wakikata 5000 kwako shwari tu. Au we ni kada wa kingse
 
upo sahihi, nililipia kodi ya ardhi. kwahiyo kumbe unalipia ardhi na jengo juu yake tena. si wizi huo sasa.
Ndio 🤣🤣🤣
Ni kama utapeli an, sema ndio hivyo sheria zetu zipo hivyo toka zamani sana an, ila watu walikuwa hawalipi, hadi ilivyokuja kodi kwa luku ndio wanalipa,
Still bado hio kodi ya Ardh watu wengi hawalipi
 
We jamaa vipi asee.. acha use* nani kakwambia kodi ya ardhi hiyo... so hata wakikata 5000 kwako shwari tu. Au we ni kada wa kingse
Jifunze kujadili hoja bwana mdogo,

Mm sijasema wakate 5000, kodi ya 1500/- ni reasonable, kwa miaka mitano hadi 7 mbele napendekeza isipandishwe,
 
Mkuu, hio ni kodi ya nyumba, haihusihani na TANESCO,
kingine wabongo tuache kulia lia,
Mfuate mwenye nyumba wako, mwambie arudishe hio 18k unayolipa kwa mwaka, mana ni jukumu lake, mbona simple tu ?

Yan tunalia vitu vidogo vya kusolve wenyewe tu
Lisiti yangu ndiyo iko wapi, hata hivyo, nyumba zisizo na luku zenu hamzitozi kodi?

Akili ndogo sana hii, yaani ccm nzima mmeshindwa kudili na wenye nyumba kulipia majengo yao, matokeo yake mmeweka kwenye Luku hamjui kwamba anayelipia hizo nyumba siyo mmiliki?

Kwa nini msidili na wenye majengo
 
Wew nae ndio wale wale,
Mm sio CCM, sijawahi na sitokuwa CCM,

Ila tuseme ukweli, ulitaka serikali ifanyaje? Au tupe njia rafiki ya kudeal na wenye nyumba,

Halafu wew mtu mzima umepanga, unajua kuna kodi ya 1500, unashindwa nn kubargain na mwenye nyumba wako? Unataka na hiki tu ije serikali ? Acheni kudeka sana bana,

Binafs nimempanga mwenye nyumba, na kwenye kodi ya miez 6 nayompa nakata 9k, na miez sita inayofuata hivyo, vitu vidogo vidogo tunasolve sio lazima serikali iseme
 
Usumbufu uletwe na viongozi wako wazembe wa kukusanya kodi wanaopenda njia rahisi kupata kodi za kuumiza raia wasiostahili halafu uje kumpanga mpangaji aongee na mwenye nyumba namna watakavyokatana

Hivi unajua mwenye nyumba huwa ansema msemo mmoja tu, hutaki kulipia basi kaa bila umeme! Halafu wewe unarahisisha tu na maccm siyo
 
Ahaaaaa ndio mana nakuambia wew unadeka,
Kwa hio ulitaka ibaki njia ile ile ya kwenda halmashauri au ?

Acheni kudeka hovyo hovyo, mtu mzima unashindwa vip kuongea na mwenye nyumba wako vema ?
 
Miongoni mwa waliohudhuria kwenye mikutano ya Rais Samia huko Katavi na mimi nilikuwepo

Kwenda kwangu kwenye mikutano hiyo, siyo kwamba ndio namkubali Rais katika utendaji wake, hapana

Nimepatwa na shida sana kichwani kuamini kwamba, huyo ndiye aliyezunguka na JPM kuomba kura huku wakituahidi maisha chipa pindi mitambo ya umeme ya JKHNP itakapokamilika na kuanza kutumika

Cha kushangaza ni kwamba, baada tu ya kukamilika na kuanza kutumika tukaanza kushuhudia Luku inawekewa tozo za ajabu ajabu zisizoeleweka,

Mbali na hilo, kipindi cha nyuma, Aliyekuwa aliyekuwa waziri wa Nishati bwana Januar Makamba, alitoa tamko mapema kuhabarisha kwamba, umeme hautashuka bei kama ilivyowahi kusikika kipindi cha viongozi hao wawili walipokuwa wakieleza manufaa ya kuwa na mradi wa JKNHP, hii ni kwa sababu walizozijuwa wao kina Makamba

Kwa maana hiyo, yawezekana kabisa kwamba, wapo na wananchi maelfu kwa maelfu waliohudhuria mikutano hiyo kwenda kumshangaa Rais huku wakiwa na maswali kama niliyonayo mimi,

Maana inakuwa ngumu sana kuamini, mtu aliyezunguka nchi nzima kutueleza umeme utashuka bei mara tu baada ya kuanza uzalishaji wa umeme kwenye mradi wa JKNHP kule rufiji leo amegeuka hivihivi yaani, uungwana ni tabu sana

Leo kageukaje? Licha ya hivyo, bado ameruhusu Luku iwe inatozwa fedha kibao mwisho wa mwezi wakati huo huo akijua walipaji wakuu wa tozo hiyo ni walala hoi waliopangishwa najumba na kundi la wenye kipato cha juu?

Siku mlala hoi atakapohitaji kuondokana na ulala hoi, shariti ajikatae, aseme yeye si yeye, bila shaka ndipo ataanza kuzisogelea ndoto zake

Mungu bariki nchi yangu Tanzania, Utupatie na viongozi makomando huwenda tutapa ahuweni!

Ameen

Pia soma: Magufuli aliondoa 'Service Charge' Tanesco ya 7,000 lakini Serikali ya sasa inazirudisha tozo kidogokidogo kupitia mfumo wa Luku
Kwani matumizi Yao ni Sawa
 
Ahaaaaa ndio mana nakuambia wew unadeka,
Kwa hio ulitaka ibaki njia ile ile ya kwenda halmashauri au ?

Acheni kudeka hovyo hovyo, mtu mzima unashindwa vip kuongea na mwenye nyumba wako vema ?
Seriki ilishindwa nini kuongea na mwenye nyumba? Akili yenu maccm ni matope tupu
 
kwahiyo kuna kodi ya nyumba, tofauti na ile tumeenda kulipia ardhi, mwisho ulikuwa mwezi uliopita kama sikosei. wanakata watu mara mbili basi.
Kodi ya ardhi inalipwa Ardhi, hii ni kodi ya pango au property tax hiyo inalipwa TRA japo mwanzo ilikuwa inaenda halimashauri Magu akabadili sheria ikapelekwa TRA
 
Miongoni mwa waliohudhuria kwenye mikutano ya Rais Samia huko Katavi na mimi nilikuwepo

Kwenda kwangu kwenye mikutano hiyo, siyo kwamba ndio namkubali Rais katika utendaji wake, hapana

Nimepatwa na shida sana kichwani kuamini kwamba, huyo ndiye aliyezunguka na JPM kuomba kura huku wakituahidi maisha chipa pindi mitambo ya umeme ya JKHNP itakapokamilika na kuanza kutumika

Cha kushangaza ni kwamba, baada tu ya kukamilika na kuanza kutumika tukaanza kushuhudia Luku inawekewa tozo za ajabu ajabu zisizoeleweka,

Mbali na hilo, kipindi cha nyuma, Aliyekuwa aliyekuwa waziri wa Nishati bwana Januar Makamba, alitoa tamko mapema kuhabarisha kwamba, umeme hautashuka bei kama ilivyowahi kusikika kipindi cha viongozi hao wawili walipokuwa wakieleza manufaa ya kuwa na mradi wa JKNHP, hii ni kwa sababu walizozijuwa wao kina Makamba

Kwa maana hiyo, yawezekana kabisa kwamba, wapo na wananchi maelfu kwa maelfu waliohudhuria mikutano hiyo kwenda kumshangaa Rais huku wakiwa na maswali kama niliyonayo mimi,

Maana inakuwa ngumu sana kuamini, mtu aliyezunguka nchi nzima kutueleza umeme utashuka bei mara tu baada ya kuanza uzalishaji wa umeme kwenye mradi wa JKNHP kule rufiji leo amegeuka hivihivi yaani, uungwana ni tabu sana

Leo kageukaje? Licha ya hivyo, bado ameruhusu Luku iwe inatozwa fedha kibao mwisho wa mwezi wakati huo huo akijua walipaji wakuu wa tozo hiyo ni walala hoi waliopangishwa najumba na kundi la wenye kipato cha juu?

Siku mlala hoi atakapohitaji kuondokana na ulala hoi, shariti ajikatae, aseme yeye si yeye, bila shaka ndipo ataanza kuzisogelea ndoto zake

Mungu bariki nchi yangu Tanzania, Utupatie na viongozi makomando huwenda tutapa ahuweni!

Ameen

Pia soma: Magufuli aliondoa 'Service Charge' Tanesco ya 7,000 lakini Serikali ya sasa inazirudisha tozo kidogokidogo kupitia mfumo wa Luku
Usaliti wa wazi
 
Rais samia ndiyo kiumbe gani icho na nirais kwa kura gani alizo pigiwa na nani
 
Seriki ilishindwa nini kuongea na mwenye nyumba? Akili yenu maccm ni matope tupu
Nimekuuliza, wew unapendekeza ikatwe vipi?

Halafu serikali inadeal na jengo sio anaekaa kwenye jengo, ukitaka serikali ije iyatambue majengo yenye wapangaji jua itaanza dai kodi ya kupangishiwa, na hapo mtalia zaidi
 
Kodi ya ardhi inalipwa Ardhi, hii ni kodi ya pango au property tax hiyo inalipwa TRA japo mwanzo ilikuwa inaenda halimashauri Magu akabadili sheria ikapelekwa TRA
sasa, unalipaje kodi ya kiwanja na nyingine kodi ya jengo ulilojenga juu ya kiwanja icho icho? kama sio wizi.
 
Joined:Jun 28, 2024..............upo Kibororoni alafu unadanganya eti umehudhuri
 
Mkuu, hio ni kodi ya nyumba, haihusihani na TANESCO,
kingine wabongo tuache kulia lia,
Mfuate mwenye nyumba wako, mwambie arudishe hio 18k unayolipa kwa mwaka, mana ni jukumu lake, mbona simple tu ?

Yan tunalia vitu vidogo vya kusolve wenyewe tu
We bwana tutakupigaaaaaaa
 
Back
Top Bottom