We jamaa vipi asee.. acha use* nani kakwambia kodi ya ardhi hiyo... so hata wakikata 5000 kwako shwari tu. Au we ni kada wa kingseMkuu, hio ni kodi ya nyumba, haihusihani na TANESCO,
kingine wabongo tuache kulia lia,
Mfuate mwenye nyumba wako, mwambie arudishe hio 18k unayolipa kwa mwaka, mana ni jukumu lake, mbona simple tu ?
Yan tunalia vitu vidogo vya kusolve wenyewe
Ndio 🤣🤣🤣upo sahihi, nililipia kodi ya ardhi. kwahiyo kumbe unalipia ardhi na jengo juu yake tena. si wizi huo sasa.
Jifunze kujadili hoja bwana mdogo,We jamaa vipi asee.. acha use* nani kakwambia kodi ya ardhi hiyo... so hata wakikata 5000 kwako shwari tu. Au we ni kada wa kingse
Lisiti yangu ndiyo iko wapi, hata hivyo, nyumba zisizo na luku zenu hamzitozi kodi?Mkuu, hio ni kodi ya nyumba, haihusihani na TANESCO,
kingine wabongo tuache kulia lia,
Mfuate mwenye nyumba wako, mwambie arudishe hio 18k unayolipa kwa mwaka, mana ni jukumu lake, mbona simple tu ?
Yan tunalia vitu vidogo vya kusolve wenyewe tu
Wew nae ndio wale wale,Lisiti yangu ndiyo iko wapi, hata hivyo, nyumba zisizo na luku zenu hamzitozi kodi?
Akili ndogo sana hii, yaani ccm nzima mmeshindwa kudili na wenye nyumba kulipia majengo yao, matokeo yake mmeweka kwenye Luku hamjui kwamba anayelipia hizo nyumba siyo mmiliki?
Kwa nini msidili na wenye majengo
Mario Cuomo! Umenikumbusha mbali sana, miaka ya 1980s."You campaign in poetry, you govern in prose" - Mario Cuomo
Usumbufu uletwe na viongozi wako wazembe wa kukusanya kodi wanaopenda njia rahisi kupata kodi za kuumiza raia wasiostahili halafu uje kumpanga mpangaji aongee na mwenye nyumba namna watakavyokatanaWew nae ndio wale wale,
Mm sio CCM, sijawahi na sitokuwa CCM,
Ila tuseme ukweli, ulitaka serikali ifanyaje? Au tupe njia rafiki ya kudeal na wenye nyumba,
Halafu wew mtu mzima umepanga, unajua kuna kodi ya 1500, unashindwa nn kubargain na mwenye nyumba wako? Unataka na hiki tu ije serikali ? Acheni kudeka sana bana,
Binafs nimempanga mwenye nyumba, na kwenye kodi ya miez 6 nayompa nakata 9k, na miez sita inayofuata hivyo, vitu vidogo vidogo tunasolve sio lazima serikali iseme
OG.Mario Cuomo! Umenikumbusha mbali sana, miaka ya 1980s.
Ahaaaaa ndio mana nakuambia wew unadeka,Usumbufu uletwe na viongozi wako wazembe wa kukusanya kodi wanaopenda njia rahisi kupata kodi za kuumiza raia wasiostahili halafu uje kumpanga mpangaji aongee na mwenye nyumba namna watakavyokatana
Hivi unajua mwenye nyumba huwa ansema msemo mmoja tu, hutaki kulipia basi kaa bila umeme! Halafu wewe unarahisisha tu na maccm siyo
Kwani matumizi Yao ni SawaMiongoni mwa waliohudhuria kwenye mikutano ya Rais Samia huko Katavi na mimi nilikuwepo
Kwenda kwangu kwenye mikutano hiyo, siyo kwamba ndio namkubali Rais katika utendaji wake, hapana
Nimepatwa na shida sana kichwani kuamini kwamba, huyo ndiye aliyezunguka na JPM kuomba kura huku wakituahidi maisha chipa pindi mitambo ya umeme ya JKHNP itakapokamilika na kuanza kutumika
Cha kushangaza ni kwamba, baada tu ya kukamilika na kuanza kutumika tukaanza kushuhudia Luku inawekewa tozo za ajabu ajabu zisizoeleweka,
Mbali na hilo, kipindi cha nyuma, Aliyekuwa aliyekuwa waziri wa Nishati bwana Januar Makamba, alitoa tamko mapema kuhabarisha kwamba, umeme hautashuka bei kama ilivyowahi kusikika kipindi cha viongozi hao wawili walipokuwa wakieleza manufaa ya kuwa na mradi wa JKNHP, hii ni kwa sababu walizozijuwa wao kina Makamba
Kwa maana hiyo, yawezekana kabisa kwamba, wapo na wananchi maelfu kwa maelfu waliohudhuria mikutano hiyo kwenda kumshangaa Rais huku wakiwa na maswali kama niliyonayo mimi,
Maana inakuwa ngumu sana kuamini, mtu aliyezunguka nchi nzima kutueleza umeme utashuka bei mara tu baada ya kuanza uzalishaji wa umeme kwenye mradi wa JKNHP kule rufiji leo amegeuka hivihivi yaani, uungwana ni tabu sana
Leo kageukaje? Licha ya hivyo, bado ameruhusu Luku iwe inatozwa fedha kibao mwisho wa mwezi wakati huo huo akijua walipaji wakuu wa tozo hiyo ni walala hoi waliopangishwa najumba na kundi la wenye kipato cha juu?
Siku mlala hoi atakapohitaji kuondokana na ulala hoi, shariti ajikatae, aseme yeye si yeye, bila shaka ndipo ataanza kuzisogelea ndoto zake
Mungu bariki nchi yangu Tanzania, Utupatie na viongozi makomando huwenda tutapa ahuweni!
Ameen
Pia soma: Magufuli aliondoa 'Service Charge' Tanesco ya 7,000 lakini Serikali ya sasa inazirudisha tozo kidogokidogo kupitia mfumo wa Luku
Seriki ilishindwa nini kuongea na mwenye nyumba? Akili yenu maccm ni matope tupuAhaaaaa ndio mana nakuambia wew unadeka,
Kwa hio ulitaka ibaki njia ile ile ya kwenda halmashauri au ?
Acheni kudeka hovyo hovyo, mtu mzima unashindwa vip kuongea na mwenye nyumba wako vema ?
Kodi ya ardhi inalipwa Ardhi, hii ni kodi ya pango au property tax hiyo inalipwa TRA japo mwanzo ilikuwa inaenda halimashauri Magu akabadili sheria ikapelekwa TRAkwahiyo kuna kodi ya nyumba, tofauti na ile tumeenda kulipia ardhi, mwisho ulikuwa mwezi uliopita kama sikosei. wanakata watu mara mbili basi.
Usaliti wa waziMiongoni mwa waliohudhuria kwenye mikutano ya Rais Samia huko Katavi na mimi nilikuwepo
Kwenda kwangu kwenye mikutano hiyo, siyo kwamba ndio namkubali Rais katika utendaji wake, hapana
Nimepatwa na shida sana kichwani kuamini kwamba, huyo ndiye aliyezunguka na JPM kuomba kura huku wakituahidi maisha chipa pindi mitambo ya umeme ya JKHNP itakapokamilika na kuanza kutumika
Cha kushangaza ni kwamba, baada tu ya kukamilika na kuanza kutumika tukaanza kushuhudia Luku inawekewa tozo za ajabu ajabu zisizoeleweka,
Mbali na hilo, kipindi cha nyuma, Aliyekuwa aliyekuwa waziri wa Nishati bwana Januar Makamba, alitoa tamko mapema kuhabarisha kwamba, umeme hautashuka bei kama ilivyowahi kusikika kipindi cha viongozi hao wawili walipokuwa wakieleza manufaa ya kuwa na mradi wa JKNHP, hii ni kwa sababu walizozijuwa wao kina Makamba
Kwa maana hiyo, yawezekana kabisa kwamba, wapo na wananchi maelfu kwa maelfu waliohudhuria mikutano hiyo kwenda kumshangaa Rais huku wakiwa na maswali kama niliyonayo mimi,
Maana inakuwa ngumu sana kuamini, mtu aliyezunguka nchi nzima kutueleza umeme utashuka bei mara tu baada ya kuanza uzalishaji wa umeme kwenye mradi wa JKNHP kule rufiji leo amegeuka hivihivi yaani, uungwana ni tabu sana
Leo kageukaje? Licha ya hivyo, bado ameruhusu Luku iwe inatozwa fedha kibao mwisho wa mwezi wakati huo huo akijua walipaji wakuu wa tozo hiyo ni walala hoi waliopangishwa najumba na kundi la wenye kipato cha juu?
Siku mlala hoi atakapohitaji kuondokana na ulala hoi, shariti ajikatae, aseme yeye si yeye, bila shaka ndipo ataanza kuzisogelea ndoto zake
Mungu bariki nchi yangu Tanzania, Utupatie na viongozi makomando huwenda tutapa ahuweni!
Ameen
Pia soma: Magufuli aliondoa 'Service Charge' Tanesco ya 7,000 lakini Serikali ya sasa inazirudisha tozo kidogokidogo kupitia mfumo wa Luku
Rais samia ndiyo kiumbe gani icho na nirais kwa kura gani alizo pigiwa na naniMiongoni mwa waliohudhuria kwenye mikutano ya Rais Samia huko Katavi na mimi nilikuwepo

Nimekuuliza, wew unapendekeza ikatwe vipi?Seriki ilishindwa nini kuongea na mwenye nyumba? Akili yenu maccm ni matope tupu
sasa, unalipaje kodi ya kiwanja na nyingine kodi ya jengo ulilojenga juu ya kiwanja icho icho? kama sio wizi.Kodi ya ardhi inalipwa Ardhi, hii ni kodi ya pango au property tax hiyo inalipwa TRA japo mwanzo ilikuwa inaenda halimashauri Magu akabadili sheria ikapelekwa TRA
We bwana tutakupigaaaaaaaMkuu, hio ni kodi ya nyumba, haihusihani na TANESCO,